Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Hakuna uhalisia wowote, inakuwaje herufi ya kwanza ya jina iwe nyota nyingine na mwezi aliozaliwa uwe nyota nyingine, sasa ina maana mtu huyo huyo mmoja ana nyota mbili tofauti??
 
Je samaki na mbuzi couple hii ni vipi? Wanaweza kuoana na kuishi maisha ya ndoa ya kudumu?
 
Punda ndio nyota ya kwanza mkuu,

Nyota kuwa na nyota moja yenye tabia za nyota nyingine kitendo hichi huitwa uchomozaji wa nyota kwa saa ambayo mtu yule anazaliwa maana nyota huchomoza kila baada ya masaa mawili ila nyota tawala huwa ndio nyota hiyo ya mtu hivyo ukikuta mtu kazaliwa na nyota tawala halafu amechomozewa na nyota nyingine basi huyu anakuwa kaathiliwa na nyota ile ya tabia na inaweza kumletea faraja au nuksi vile vile,

Kufuatilia tabia za nyota hizi huwa zinaingiliana pale mtu anapokuwa kachomozewa na nyota ambayo ni adui ya nyota tawala,

Ikiwa mtu anaenda tofauti na nyota yake mambo mengi sana huwa yanampita na kuanza kuona ugumu wa kila jambo kwa maana anakuwa kaingia section ambayo sio yake, mfano nyota ya samaki ni wapenda maisha ya kiroho sana lakini ng'ombe hupenda maisha ya thabiti zaidi sasa ukikuta mwenye nyota ya samaki kachomozewa na Ng'ombe humpa shida kwake na akijua inabidi ajiengue kutoka kwenye nyota aliochomoza kwa maana nyota inayochomoza ni muonekano wa mtu nyota yake ni jinsi alivyo na nyota ya mwezi ni usiri wake

Rakims
 
Hakuna uhalisia wowote, inakuwaje herufi ya kwanza ya jina iwe nyota nyingine na mwezi aliozaliwa uwe nyota nyingine, sasa ina maana mtu huyo huyo mmoja ana nyota mbili tofauti??
Mkuu pitia kwenye quotes humu nimeshaeleza hili swali lako

Rakims
 
Je samaki na mbuzi couple hii ni vipi? Wanaweza kuoana na kuishi maisha ya ndoa ya kudumu?
Samaki ni mtu wa mapenzi ya kuota na mawazo ya hali ya juu sana na mwenye kupenda kutumia maajabu ya ndoto zake kumuonyesha mbuzi hizi hisia zake ingawaje mbuzi pia ni mtendaji mzuri kimapenzi na ana mitindo yake ya suprises couple hii inawezekana na inapendeza japo hakuna jipya kwao zaidi ya kuonyeshana na jinsi ya kupenda kila mtu ni mwalimu kwa mwenzie

Rakims
 
Hakuna sehemu uliyojibu hili swali, wamekuuliza watu kama wanne hivi hujawajibu.
Nielewe mkuu ya kwamba mtu hana nyota mbili isipokuwa saa anayozaliwa huwa kuna possibility za yeye kukumbwa na tabia za nyota hiyo iliyochomoza sio kwamba nyota zake ziko mbili hapana

Rakims
 
Hongera sana mtoa mada..Kuna vitu vingi sana vya kujifunza juu ya tabia zetu kupita mada yako.Binafsi nilianza kuangalia hizi mambo 2010 na baadae 2017 kipenzi cha maisha alinipa pia somo kuhusu jambo kama hili.Nikaanza kujichunguza hasa jinsi nilivyo.Kuna muda nabaki tu kucheka...imenisaidia sana kujirekebisha kitabia na kuelewa watu wengi sana pahala popote pale.
Mimi ni Aquarius +kipenzi ni Aries..Hahahaha tunaamini katika dunia yetu hii na combination yetu ni raha sana.Siwezi kueleza kila kitu...si lazima sana kufuata herufi hizo ila kuna contents flani ambazo ukiamua kuzifuatilia kwa maamuzi ya kujitambua zinasaidia sana.
Pia kupata ushauri toka kwa psychologists na kusoma mambo mbali mbali kuhusiana na tabia zetu kumesaidia sana kupunguza na kuongeza mambo flani katika maisha haya mafupi yanayo hitaji furaha muda mwingi.Inapunguza sana kwanini flani anakuwa hivi mara vile.
 
Ni kweli mkuu, hongera pia kwa kujielewa

Rakims
 
Nazizitiza haipo mkuu. Kwa nini unakuwa mvivu kurudi juu kucheck kama umeiweka? Umeishia nyota ya samaki.

Angalia tena mkuu, samahani kwa usumbufu.
Mkuu nimepost nyota 12

Punda/kondoo,ng'ombe,mapacha,kaa,simba,mashuke,ng'e,mshale,mbuzi,ndoo na samaki

Wapi ambapo nashindwa kukuelewa mkuu em nifafanulie,

Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…