Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Mfano mm naitwa "Alex"
Mama yangu anaitwa "Grace"
Tarehe ya kuzaliwa 3/1/2000

Fanya mahesabu hayo bc alaf niambie nyota yangu
 
Umri wako bado mdogo Sana kuwa
kigagula,achana na hayo mambo ebu
komaa Kwenye mambo ya msingi.
[/QUOTE]
😝😝au sio mkuu!!but nilitaka kujua 2 nothing else
 
Mfano mm naitwa "Alex"
Mama yangu anaitwa "Grace"
Tarehe ya kuzaliwa 3/1/2000

Fanya mahesabu hayo bc alaf niambie nyota yangu
Mkuu hapa hakuna mifano ni maelezo yaliyo thabiti, sio mifano kama ni mfano watakufanyia walioelewa hapo

Rakims
 
Hizi nyota nafikiri zinalenga sana majina yenye imani ya kiislam,kwa sababu nimeangalia tarehe na mwezi niliyozaliwa pamoja na jina sijaona katika mtililiko mzima wa nyota hzi,
Hii sijui imekaaje wanazengo?
 
Hapana mkuu sema ni kutokuolodhesha zote tu lakini kila jina linasimama kwenye nyota au nyota iliyochomoza,
Wacha kusema elimu ya nyota ipo kidini hapana ni kama elimu za maarifa mengine tu

Sawa basi kama ndio hivyo alitakiwa kujaza kila kitu kama unamwelesha mtu anakuwa anakuelewa
 
Mkuu Rakims, je nyota ya Ng'ombe(mwanaume) na kaa(mwanamke mkubwa kidogo)

Je hawa watu wanaweza kua pamoja na wakakaa vizuri,naomba ufafanuzi maana bado sijapata majibu sahihi huko juu.
 
Kwa wenye nyota ya mshale na samaki wanaweza kupita hapa kwenye thread hii pia na wengine pia

Rakims
 
Nilikuuluza mtu alozaliwa April 30 saa 12 asubuhi mwaka huu Dar es salaam nyota yake ilochomoza ni IPI? Ukanambia ngoja ucheki longitude na latitude
Mkuu huyu ni mtoto mchanga sio ana siku 28 leo?

Nyota yake iliyochomoza ni Ng'ombe
Nyota yake ya terehe ni ng'ombe
Nyota yake ya siri au usiri wake ni Samaki

Rakims
 
Utamaduni wa kaa huwa ni wa kupuuzwa na shauku kubwa ya ng'e na kaa huwa muaminifu zaidi, wivu wa ng'e ni wa hasira, ustahamilivu wa kaa humfanya ng'e kujihisi yupo kwenye mikono salama. Kaa hupenda nguvu alizonazo Ng'e na Ng'e hujihisi yupo kileleni kwa mapenzi ya kaa muda wote, zote ni nyota zenye hisia zinazohitajika kwa mwingine pamoja hawa wanaweza kujenga maisha mazuri katika mapenzi yao. Mahusiano haya ni mazuri na humo ndani utakuta ni upendo,furaha na amani na kila jambo linalotokea huwazidishia mapenzi

Rakims
Real kabsa aisee.... Thanks mkuu
 
Mkuu huyu ni mtoto mchanga sio ana siku 28 leo?

Nyota yake iliyochomoza ni Ng'ombe
Nyota yake ya terehe ni ng'ombe
Nyota yake ya siri au usiri wake ni Samaki

Rakims
Mkuu mimi ni me na nyota yangu ni ng'ombe lakini mtu wangu yeye ni simba hapa inakuaje na umesema simba hapatani na ng'ombe na huwa tunagombana sana nifanyeje sasa?
 
Back
Top Bottom