Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Rakims hii ni nyota yangu na hii ndio tafsiri ya jina langu halisi.Lakini hadithi nyingine inasema kuwa pale walitokea samaki wawili ambao ndio hao waliokuwa wakiogelea wawili kuonyesha vita za ndani na usiri wakawakomboa na kukimbia kwenye maji sasa kama zawadi hao samaki ndio wakarushwa juu ya anga na kujipanga pamoja na hizo nyota 12 na kuanzia hapo ndio wakawa hawaonekani na zinaonekana nyota peke yake.kila ikifikia kipindi hicho ndio maana kwa utafiti wakaja kugundua kuwa kila anaezaliwa chini ya nyota hizo huwa na mambo hayo ya sifa za hiyo nyota. Nakwambia hii story sio nakuaminisha haya hapana nakwambia ili ujue sababu ya hizo nyota kuitwa majina hayo tofauti na Nguruwe na fisi ni kuwa wana historia ya kuitwa hivyo lakini ukitaka unaweza kugeuza jina la nyota yako ikawa chambo ila maelezo uyajue kuwa yanabase na nini ndio maana wachina kujionyesha kuwa wanajua sana story hii wakawaita miungu wao wawili Yin & Yang wakiashiria samaki wawili walipoanza kuwaabudu ikabidi wageuze jina la samaki kuwa nguruwe
Rakims
Meaning & History. Means "peaceful warrior" from the Germanic elements hun "warrior, bear cub" and frid "peace". The Normans introduced this name to England, where it replaced the Old English cognate Hunfrith, and it was regularly used through the Middle Ages.
Dah.... nitashinda vita zangu zote, najitabiria mwisho mzuri