Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Rakims hii ni nyota yangu na hii ndio tafsiri ya jina langu halisi.
Meaning & History. Means "peaceful warrior" from the Germanic elements hun "warrior, bear cub" and frid "peace". The Normans introduced this name to England, where it replaced the Old English cognate Hunfrith, and it was regularly used through the Middle Ages.
Dah.... nitashinda vita zangu zote, najitabiria mwisho mzuri
 
Nyota zinatambulika kutokana na tarehe yako ya kuzaliwa,muda na saa au kama hujui basi inafaa na ndio bora zaidi kupigia hesabu jina lako la kuzaliwa pamoja na mama mzazi

Hayo mahesabu yanapigwaje
kwa kupitia thamani ya namba mfano wewe unaitwa vi mama yako vendra hapo tunaangalia thamani yamajina haya kwa hesabu maalumu tunapata kuwa wewe vi=80 na vendra=334 jumla tunapata 414-300=114-72=42-24=18-12=6

Nyota yako inakuwa 6 kwenye mlolongo hapo unaiprove kwa tarehe sasa

Rakims
 
Mungu atakusaidia kama upo vitani
 
Izo namba zinapatikanaje
 
mi nashindwa kuelewa huyo kaa watu ambao haelewani nao ni mbuzi ila mbuzi huyo huyo ni mzuri kwenye mahusiano/ mapenzi na ndoa, which is which sasa?

alafu unaposema wenye nyota ya kaa ni viongozi/leaders na huwa wanajiamini sana mbona kama inamchecheto, maana hata mimi nina nyota hiyo ila sina hizo mambo za kujiamini sana na sijawahi kuongoza au kupewa uongozi wowote.
 
kwa maelewano mkuu ya kawaida sio nyota nzuri kwake hiyo lakini kwenye mapenzi anamfaa zaidi. pia kwenye kujiona upo tofauti na nyota hiyo uliozaliwa kwenye mwezi huo basi jua wazi kabisa kuwa wewe unaongozwa na nyota iliyochomoza wakati unazaliwa nyota zinahama kila baada ya masaa mawili ya siku na hili ni tatizo hasa kwa watu waliozaliwa saa za usiku kwa maana hizi ni sun sign sasa kwa mtu aliyozaliwa usiku mara nyingi huwa anachengana na hizi nyota za jua kuna nafasi kubwa sana utawala wake ukawa chini ya mwezi

Rakims
 
Nyota ni vitu vy kufikirika tu, nyota ya KAA naisi umenipatia lakin bado hii ni dhana fikirishi tu
 
Mwanaume ana nyota ya ng'ombe mwanamke ni samaki na ni mkubwa kiumri zaidi ya mwanaume.Mahusiano yao ya kimapenzi yataendana au kudumu?
Mwanamke samaki unatakiwa ujue kuwa mwanamke huyu ana asili ya maji ya kisima yaliyotulia na ndio asili ya samaki, hivyo anautulivu na mwenye huruma pia halafu mwanaume mwenye nyota ya ng'ombe sifa yake ni ukarimu na upole pia hawa wanamaelewano zaidi kwa maana samaki anakuwa mwenye bahati akikaa na ng'ombe kwa maana atamuhifadhi bila kumzulu na ng'ombe kwenye mikono ya samaki yupo salama kwa sababu samaki atamvutia rizki na kumng'arisha
Couple hii hadi kuzikana labda Mungu abatilishe

Rakims
 
Nyota ni vitu vy kufikirika tu, nyota ya KAA naisi umenipatia lakin bado hii ni dhana fikirishi tu
Hata firauni alionyeshwa kweli ya kiroho na bado akagoma tu, hivyo ni maamuzi yako binafsi mkuu

Rakims
 
Na je nyota ya samaki kwa samaki kwenye mapenzi uhusiano wao utadumu?
Mkuu ama katika kapo zenye raha basi ni zile ambazo ni mapacha kwa asilia na sio kwa kukadiria, hapo utakuwa na mtu asiyekupinga kwa chochote na kukuona sawa shida huijia pale ukikwama kimawazo ukimuuliza tufanyeje anakwambia sijui tunafanyaje

Rakims
 
Yaani hiyo nyota ya punda umenipatia kabisa
Ugonjwa mimi huwa ni kichwa tu hata leo nimetoka hospital kujitibu kichwa lakini maumivu yake nayo sikia ni balaa.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…