mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hivi nyota za siku yako huwa zinakua na ukweli, yani kwa mfano nyota yangu inaweza ikaakisi jambo kwa siku hiyo mfano ikasema leo utakutana na mtu muhimu sana je huwa ni kweli nianze kufuatilia
Nimezaliwa Jumanne ya tarehe 26/09Toa details zako zote za kuzaliwa nitakwambia ni ipi nyota yako.
Usinicheki hebu tulia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tupate majibu we dengue[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Swali langu umeliona auKaribu PM
Usinicheki hebu tulia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tupate majibu we dengue
Ndio ni kweli kama tu utakuwa umepata calculation sahihiHivi nyota za siku yako huwa zinakua na ukweli, yani kwa mfano nyota yangu inaweza ikaakisi jambo kwa siku hiyo mfano ikasema leo utakutana na mtu muhimu sana je huwa ni kweli nianze kufuatilia
Popote pale katika tarehe nyota hii inapochomoza huwa na nguvu pia ikiwa ni tarehe za simba na mshale vile vile inakuwa bado madhubutiJe nyota ya punda ina asilimia ngapi za Kwenda mbele kimaisha kwa mwaka huu 2021 na mwezi bora kuangalia kwao Ni upi?
Nimekuelewa mkuu, ila nimeuliza maana unakuta nyota yako siku hiyo inakumbia leo scorpio utakutana na mwanamke mzuri atakayekupa furaha ya milele na maisha yako yatabadilika sasa sielewi wakati huo huo tayari na mwanamke au atakua mke mdogo nini, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kwa sababu uulizaji wako ni kama tayari jibu unalo ila unataka kumchemsha kichwa tu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Duh basi sawa ngoja niwe nasoma nyota yangu kila siku kwa wanajimuNdio ni kweli kama tu utakuwa umepata calculation sahihi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]unawaza mbali sanaNimekuelewa mkuu, ila nimeuliza maana unakuta nyota yako siku hiyo inakumbia leo scorpio utakutana na mwanamke mzuri atakayekupa furaha ya milele na maisha yako yatabadilika sasa sielewi wakati huo huo tayari na mwanamke au atakua mke mdogo nini, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
herufi za jina sijaorodhesha zote mkuuMm nina sifa za nyota mbili ya siku ya kuzaliwa na herufi ya jina hapo nyota yangu halisi ni ipi
Hata mm pia jamaa kapita mule muleYaani hiyo nyota ya punda umenipatia kabisa
Ugonjwa mimi huwa ni kichwa tu hata leo nimetoka hospital kujitibu kichwa lakini maumivu yake nayo sikia ni balaa.!
herufi za jina sijaorodhesha zote mkuu
unaweza kuziomba kwenye thread specific katika blog hii
Rakims Spiritual
sayansi ya kiroho na faida zake. Elimu ya nyota, ijue nyota yako Nyota ya Punda, ng'ombe, mapacha, kaa kusafisha nyota, Visomo, pete za mali, majini.rakimsspiritual.blogspot.com