Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Hivi nyota za siku yako huwa zinakua na ukweli, yani kwa mfano nyota yangu inaweza ikaakisi jambo kwa siku hiyo mfano ikasema leo utakutana na mtu muhimu sana je huwa ni kweli nianze kufuatilia
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Toa details zako zote za kuzaliwa nitakwambia ni ipi nyota yako.
Nimezaliwa Jumanne ya tarehe 26/09
Jina nililopewa ni Abeid. Kama mengine yatahitajika bc niambie mkuu nikutumie pm
 
nimecheka kwa sababu uulizaji wako ni kama tayari jibu unalo ila unataka kumchemsha kichwa tu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Usinicheki hebu tulia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tupate majibu we dengue
 
Hivi nyota za siku yako huwa zinakua na ukweli, yani kwa mfano nyota yangu inaweza ikaakisi jambo kwa siku hiyo mfano ikasema leo utakutana na mtu muhimu sana je huwa ni kweli nianze kufuatilia
Ndio ni kweli kama tu utakuwa umepata calculation sahihi
 
Nimezaliwa Jumanne ya tarehe 26/09
Jina nililopewa ni Abeid. Kama mengine yatahitajika bc niambie mkuu nikutumie pm
Hizi sio details zako zote za kuzaliwa
 
Je nyota ya punda ina asilimia ngapi za Kwenda mbele kimaisha kwa mwaka huu 2021 na mwezi bora kuangalia kwao Ni upi?
 
Popote pale katika tarehe nyota hii inapochomoza huwa na nguvu pia ikiwa ni tarehe za simba na mshale vile vile inakuwa bado madhubuti

Rakims
 
nimecheka kwa sababu uulizaji wako ni kama tayari jibu unalo ila unataka kumchemsha kichwa tu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nimekuelewa mkuu, ila nimeuliza maana unakuta nyota yako siku hiyo inakumbia leo scorpio utakutana na mwanamke mzuri atakayekupa furaha ya milele na maisha yako yatabadilika sasa sielewi wakati huo huo tayari na mwanamke au atakua mke mdogo nini, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]unawaza mbali sana
 
Daah, mimi tarehe ya kuzaliwa na herufi ya jina vinagota kwenye nyota ya Virgo/Mashuke! Unanishauri nini??
 
Mm nina sifa za nyota mbili ya siku ya kuzaliwa na herufi ya jina hapo nyota yangu halisi ni ipi
herufi za jina sijaorodhesha zote mkuu

unaweza kuziomba kwenye thread specific katika blog hii

Back
Top Bottom