mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hivi nyota za siku yako huwa zinakua na ukweli, yani kwa mfano nyota yangu inaweza ikaakisi jambo kwa siku hiyo mfano ikasema leo utakutana na mtu muhimu sana je huwa ni kweli nianze kufuatilia