Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Kwaiyo mkuu una shauri niangalie nyota ya herufi la jina langu au la mwaka nilio zaliwa sija elewa
 
Mkuu hapa sijaelewa kwa aries unasema nyota inayowapa nguvu ni mizani,wakati huohuo unasema hawapaswi kushirikiana na mizani hii imekaaje?!!
 
Apo nime angalia nyota yangu naya girlfriend. Kwake nikaona nyota inayo msaidia kifedha ni yangu na nikweli kabsa dah aipiti wiki ajasumbua[emoji855]
Pole mkuu, ila kazana pia ndio uanaume wanaouona wanawake wengi siku hizi

Rakims
 
Kwa ambao hajui tarehe na mwaka wetu wa kuzaliwa tunafanyaje kujua nyota zetu??
CcRakims
 
Back
Top Bottom