Ijue Rwanda, Kagame, Museveni na Uvamizi wao katika Ardhi ya Congo

ALEYN

Hehee

Asante Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya watu Watanzania kupitia Jf,

Kauli yako ni amri halali ya rais na ni lazima itekelezwe!
 
Last edited by a moderator:
Yericko, hii ulioiandika umeiweka kama ni elimu kwa wasiofahamu historia kama mimi, ninaimani kama utakuwa na alimu at least ya degree level, lakini naona umepitiwa na kitu muhimu katika uandishi hususan wa mambo ya historia, reference hakuna imekuwa kama Wikipedia, nafikiri ingelikuwa vyema nasi tukafaidika zaidi ikiwa utaiedit na kuiwekea citation ili kujenga confidence kwa wasomaji wako kwa ulichokiandika.
 
Nimekupata mkuu wangu,
Pia nashukuru kwa pongezi zako,

Kuhusu vielelezo nimeweka kwa ufupi,nimefanya hivyo kwakua makala hii ni mkusanyo wa habari kutoka vyanzo vingi sana hivyo ningesema niorodheshe hakika ingejaa hapo nakupunguza ladha ya historia hiyo!

Ushauri wako ni muhimu sana na nimeupokea mkuu
 
mbona unaishi maisha ya kujishuku? Tanzania haijavamiwa bado tuna uwezo mkubwa sana wa kuwadhibiti hata mpaka wa kagera vita ikianza hamsogei, nilikuwanawahamasiha wahutu waache kulalamika wadai kwa nguvu haki yao ya kuishi kwa amani bila ubaguzi ndani ya rwanda .

Msiongee msicho kijua unajua idadi ya wahutu ambao wako rwanda? ni zaidi ya 98% ya wahutu wote walio nje wakipiga makelele na wengi wao ni watu wanao jishuku mauaji.
 
Kwanza tuwekane sawa hapa, Laurent Kabila hakuwa muasi, alikuwa ni mpigania ukombozi dhidi ya dikteta Mobutu ndiomana Mwalimu alimuunga mkono,
Bila kina kagame Congo ingekuwa chini ya Mobutu au kibaraka wake mpaka sasa,the only thing Congolese wanatakiwa ni kumshukuru kagame kuwaondolea Mobutu na sio kuwahifadhi FDLR wanaotaka kufanya genocide nyingine Rwanda,Kabila aliwageuka wenzake na kila mtu anajua and he paid the price,and don't fool yourself ....and no doubt Nyerere was a big time supporte of RPF and kagame na aliwaita serikali ya Habyarimana wauaji na he never liked mobutu na angekuwa Raisi nisingeshangaa angepeleka majeshi kuwasaidia kina Kagame.
 
Pamoja na Wakongo kutambua mchango wa PK na M7 katika ukombozi wao, lakini hawakubaliani na mkataba wa Lemera unaosimamia uuzwaji wa ardhi yao kwa minajiri ya dola kuu la kitutsi!
 
Peace through strength that's the only way to defend and dealing na ideologues wote wanaotaka kukumaliza just kwa sababu they don't like you au wanaamini kwenye stupid conspiracy kama hizi za JF eti Bahima empire,sasa sijui uta debate nini au kufanya nini na mtu anayekuzushia kitu kama bahima empire or all Tutsi are arrogant and killers?these muther----ers ukiwachekea watakumaliza huku ukiwa helplessly na nobody will know or care.
 
Pamoja na Wakongo kutambua mchango wa PK na M7 katika ukombozi wao, lakini hawakubaliani na mkataba wa Lemera unaosimamia uuzwaji wa ardhi yao kwa minajiri ya dola kuu la kitutsi!
No such thing like mkataba wa lemera na hakikuwahi kutokea,the only reason Kagame waliwasaidia kina Kabial ni kwa sababu ya security yao na Mobutu was a big time supporter of habyarimana na jeshi lake lililokimbilia Congo kujipanga upya kuvamia Rwanda and the only way ni kwenda huko huko kuwamaliza,kumbuka hata RPF wakati wanaingia Rwanda kutokea Uganda mobutu and France walituma majeshi kumsaidia habayarimana
 
m..e..n..d..e ni mdudu mchafu sana katika dunia hii!
 
No such thing like mkataba wa lemera na hakikuwahi kutokea,the only reason Kagame waliwasaidia kina Kabial ni kwa sababu ya security yao na Mobutu was a big time supporter of habyarimana na jeshi lake lililokimbilia Congo kujipanga upya kuvamia Rwanda and the only way ni kwenda huko huko kuwamaliza,kumbuka hata RPF wakati wanaingia Rwanda kutokea Uganda mobutu and France walituma majeshi kumsaidia habayarimana

Leo PK na M7 bado wanawasaka Interahamwe kule Kongo?

90% ya Wapiganaji wa M23 ni Majeshi ya Rwanda na yapokea misaada 100% kutoka Serikali ya PK,

Je bado mission ni ileile ya 1994?

Juu ya makubaliano ya Lemera unatakiwa kutulia na kusaka ukweli zaidi ikiwa haya niliyoyasema mimi wewe huyaamini, Laurent Kabila na M7 wameshakiri katika nyakati tofauti tofauti, sasa kama wewe unapinga ingekuwa vema uje na hoja mujarabu za kupinga
 
Hongera ndugu kwa andiko ambalo hata kama halikidhi haja ya kila mmoja bt linatoa mwangaza kwa ambao hatukujua hayo.Anayedhani umepotosha alikuwa wapi kutuandikia yeye?? kama yupo aweke naye tusome
 
huna anything unachoandika humu zaidi ya hate tuu,nilishakushauri hiyo hate yako itakumaliza kabla ya hao unaowachukia.

ukweli unauma sana, zingekuwa ni hate hamna tabia hizo ungejikalia kimya wana forum wawajudge, lakini kwa vile ni ukweli mchungu ni lazima ujaribu kujihami kwa jitihada zote.
 
Leo PK na M7 bado wanawasaka Interahamwe kule Kongo?

90% ya Wapiganaji wa M23 ni Majeshi ya Rwanda na yapokea misaada 100% kutoka Serikali ya PK,

Je bado mission ni ileile ya 1994?

Juu ya makubaliano ya Lemera untakiwa kutulia na kusaka ukweli zaidi ikiwa haya niliyoyasema mimi wewe huyaamini, Laurent Kabila na M7 wameshakiri katika nyakati tofauti tofauti, sasa kama wewe unapinga ingekuwa vema uje na hoja mujarabu za kupinga

kijana anakula bata USA hajui kinachoendelea zaidi ya kutetea ukabila tu.
 
Nakumbuka kusoma hii habari katika gazeti la Mwanahalisi kabla halijafungiwa.Source ya habari hii kwa sehemu kubwa ni gazeti la Mwanahalisi.
 
Hongera ndugu kwa andiko ambalo hata kama halikidhi haja ya kila mmoja bt linatoa mwangaza kwa ambao hatukujua hayo.Anayedhani umepotosha alikuwa wapi kutuandikia yeye?? kama yupo aweke naye tusome

Shukrani sana mkuu,

Binafsi ningefurahi sana kama hawa wanaopinga wangekuja na historia ile waijuayo wao, hakika wangetusaidia wengi sana

Lakini wanakuja kwa sentensi mbili au tatu tu za hapana au matusi,
 
Nakumbuka kusoma hii habari katika gazeti la Mwanahalisi kabla halijafungiwa.Source ya habari hii kwa sehemu kubwa ni gazeti la Mwanahalisi.

Katika vielelezo nilivyoweka hapo chini, mwanahalisi lipo!
 
Back
Top Bottom