Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yericko, hii ulioiandika umeiweka kama ni elimu kwa wasiofahamu historia kama mimi, ninaimani kama utakuwa na alimu at least ya degree level, lakini naona umepitiwa na kitu muhimu katika uandishi hususan wa mambo ya historia, reference hakuna imekuwa kama Wikipedia, nafikiri ingelikuwa vyema nasi tukafaidika zaidi ikiwa utaiedit na kuiwekea citation ili kujenga confidence kwa wasomaji wako kwa ulichokiandika.
mbona unaishi maisha ya kujishuku? Tanzania haijavamiwa bado tuna uwezo mkubwa sana wa kuwadhibiti hata mpaka wa kagera vita ikianza hamsogei, nilikuwanawahamasiha wahutu waache kulalamika wadai kwa nguvu haki yao ya kuishi kwa amani bila ubaguzi ndani ya rwanda .
Bila kina kagame Congo ingekuwa chini ya Mobutu au kibaraka wake mpaka sasa,the only thing Congolese wanatakiwa ni kumshukuru kagame kuwaondolea Mobutu na sio kuwahifadhi FDLR wanaotaka kufanya genocide nyingine Rwanda,Kabila aliwageuka wenzake na kila mtu anajua and he paid the price,and don't fool yourself ....and no doubt Nyerere was a big time supporte of RPF and kagame na aliwaita serikali ya Habyarimana wauaji na he never liked mobutu na angekuwa Raisi nisingeshangaa angepeleka majeshi kuwasaidia kina Kagame.Kwanza tuwekane sawa hapa, Laurent Kabila hakuwa muasi, alikuwa ni mpigania ukombozi dhidi ya dikteta Mobutu ndiomana Mwalimu alimuunga mkono,
Bila kina kagame Congo ingekuwa chini ya Mobutu au kibaraka wake mpaka sasa,the only thing Congolese wanatakiwa ni kumshukuru kagame kuwaondolea Mobutu na sio kuwahifadhi FDLR wanaotaka kufanya genocide nyingine Rwanda,Kabila aliwageuka wenzake na kila mtu anajua and he paid the price,and don't fool yourself ....and no doubt Nyerere was a big time supporte of RPF and kagame na aliwaita serikali ya Habyarimana wauaji na he never liked mobutu na angekuwa Raisi nisingeshangaa angepeleka majeshi kuwasaidia kina Kagame.
No such thing like mkataba wa lemera na hakikuwahi kutokea,the only reason Kagame waliwasaidia kina Kabial ni kwa sababu ya security yao na Mobutu was a big time supporter of habyarimana na jeshi lake lililokimbilia Congo kujipanga upya kuvamia Rwanda and the only way ni kwenda huko huko kuwamaliza,kumbuka hata RPF wakati wanaingia Rwanda kutokea Uganda mobutu and France walituma majeshi kumsaidia habayarimanaPamoja na Wakongo kutambua mchango wa PK na M7 katika ukombozi wao, lakini hawakubaliani na mkataba wa Lemera unaosimamia uuzwaji wa ardhi yao kwa minajiri ya dola kuu la kitutsi!
No such thing like mkataba wa lemera na hakikuwahi kutokea,the only reason Kagame waliwasaidia kina Kabial ni kwa sababu ya security yao na Mobutu was a big time supporter of habyarimana na jeshi lake lililokimbilia Congo kujipanga upya kuvamia Rwanda and the only way ni kwenda huko huko kuwamaliza,kumbuka hata RPF wakati wanaingia Rwanda kutokea Uganda mobutu and France walituma majeshi kumsaidia habayarimana
huna anything unachoandika humu zaidi ya hate tuu,nilishakushauri hiyo hate yako itakumaliza kabla ya hao unaowachukia.m..e..n..d..e ni mdudu mchafu sana katika dunia hii!
No such thing like mkataba wa lemera na hakikuwahi kutokea,the only reason Kagame waliwasaidia kina Kabial ni kwa sababu ya security yao na Mobutu was a big time supporter of habyarimana na jeshi lake lililokimbilia Congo kujipanga upya kuvamia Rwanda and the only way ni kwenda huko huko kuwamaliza,kumbuka hata RPF wakati wanaingia Rwanda kutokea Uganda mobutu and France walituma majeshi kumsaidia habayarimana
huna anything unachoandika humu zaidi ya hate tuu,nilishakushauri hiyo hate yako itakumaliza kabla ya hao unaowachukia.
Leo PK na M7 bado wanawasaka Interahamwe kule Kongo?
90% ya Wapiganaji wa M23 ni Majeshi ya Rwanda na yapokea misaada 100% kutoka Serikali ya PK,
Je bado mission ni ileile ya 1994?
Juu ya makubaliano ya Lemera untakiwa kutulia na kusaka ukweli zaidi ikiwa haya niliyoyasema mimi wewe huyaamini, Laurent Kabila na M7 wameshakiri katika nyakati tofauti tofauti, sasa kama wewe unapinga ingekuwa vema uje na hoja mujarabu za kupinga
Hongera ndugu kwa andiko ambalo hata kama halikidhi haja ya kila mmoja bt linatoa mwangaza kwa ambao hatukujua hayo.Anayedhani umepotosha alikuwa wapi kutuandikia yeye?? kama yupo aweke naye tusome
kijana anakula bata USA hajui kinachoendelea zaidi ya kutetea ukabila tu.
Nakumbuka kusoma hii habari katika gazeti la Mwanahalisi kabla halijafungiwa.Source ya habari hii kwa sehemu kubwa ni gazeti la Mwanahalisi.