Ijue sayansi ya upara na uwezekano mkubwa wa kuutibu kwake

Ijue sayansi ya upara na uwezekano mkubwa wa kuutibu kwake

Fafanua boss
Fanya micro needling (1× two weeks) kwenye sehemu inayoota kipara.

Baada ya wiki mbili hivi ngozi ikipona, itaanza kutengeneza collagen. Hizi huzirutubisha nywele na kuanza kuota upya.

Usioshe kichwa na maji/sabuni kwa masaa 48, baada ya kufanya microneedle. Kaa mbsli na jua(UV) katika kipindi hicho.
 
Nipo mtaa wachawi wananinyoaga wenyewe.
 
Fanya micro needling (1× two weeks) kwenye sehemu inayoota kipara.

Baada ya wiki mbili hivi ngozi ikipona, itaanza kutengeneza collagens. Hizi huzirutubisha nywele na kuanza kuota upya.

Usioshe kichwa na maji/sabuni kwa masaa 48, baada ya kufanya microneedle. Kaa mbsli na jua(UV) katika kipindi hicho.
Micro needling ndio zoezi gani?
 
Micro needling ndio zoezi gani?
Siyo zoezi, ni visindano vidogo vidogo vinavyochoma ngozi (micro tear). Ngozi ikianza kupona inaanza kutengeneza collagen. Derma roller inaweza kutengneza hiyo microtear.

roller.png
 
Siyo zoezi, ni visindano vidogo vidogo vinavyochoma ngozi (micro tear). Ngozi ikianza kupona inaanza kutengeneza collagen. Derma roller inaweza kutengneza hiyo microtear.

View attachment 2009608
Kwa hiyo mkuu chamoto hapo ni kutumia tu hicho kifaa (Derma roller) baaasi hakuna dawa ya kupaka wala kunywa, na hiyo roller inapatikanaje mkuu.
 
Sioni shida ya upara hasa kwa mwanaume, ila kwa mwanamke kua na upara lazma imsumbue.

Mwanaume unaanzaje kutafta madawa kutibu upara aisee, unapoteza ela zako tu.
Wanawake wa Kichaga wamachame wanaongoza kuwa na makomwe na vipara kama wanaume ndo maana wababe.
 
Kwa hiyo mkuu chamoto hapo ni kutumia tu hicho kifaa (Derma roller) baaasi hakuna dawa ya kupaka wala kunywa, na hiyo roller inapatikanaje mkuu.
Haina haja ya kutumia dawa, mwili wenyewe unapeleka virutubisho ukianza kuponyesha hizo micro tears, damu nyingi inapelekwa hapo na hivyo kuweza kurutubisha nywele.

Androgenetic alopecia (upara) unatokana na mwili kuzuia damu (ambayo ina virutubisho vyote) kwenda kwenye nywele. Baadae nywele zinanyauka na kupotea (ila shina la nywele linakuwepo). Microneeddling inachofanya ni kulazimisha mwili kupeleka virutubisho kwenye shina la nywele kama ilivyokuwa zamani, na hivyo kuzihuisha.

Kingine kinachofanyika kwenye ngozi ikianza kupona ni kutengeneza collagen, hizi ni protini zinazojenga mwili. Mfano ngozi ili inawiri, inatakiwa kuwe na collagen. Watoto huwa wanatengeneza collagens nyingi sana, ndiyo maana ngozi zao ni laini. Mtu akianza kuzeeka utengenezaji wa collagen unapungua, ndiyo maana ngozi inakuwa na mikunjo (pamoja na nywele kulainika, na viungo kuuma).
 
Back
Top Bottom