AbouZakariya
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,646
- 2,378
Kunaweza tokea mlipuko usio na madharaHaswa kipindi hiki cha jua kali unashauriwa kukaa mbali na watu wenye upara kwa sababu ubongo ukichemka hatujui atafanyaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunaweza tokea mlipuko usio na madharaHaswa kipindi hiki cha jua kali unashauriwa kukaa mbali na watu wenye upara kwa sababu ubongo ukichemka hatujui atafanyaje
Mimi nimekuwa nikiamini kwamba upara wa kurithi unatibika.Haina haja ya kutumia dawa, mwili wenyewe unapeleka virutubisho ukianza kuponyesha hizo micro tears, damu nyingi inapelekwa hapo na hivyo kuweza kurutubisha nywele.
Androgenetic alopecia (upara) unatokana na mwili kuzuia damu (ambayo ina virutubisho vyote) kwenda kwenye nywele. Baadae nywele zinanyauka na kupotea (ila shina la nywele linakuwepo). Microneeddling inachofanya ni kulazimisha mwili kupeleka virutubisho kwenye shina la nywele kama ilivyokuwa zamani, na hivyo kuzihuisha.
Kingine kinachofanyika kwenye ngozi ikianza kupona ni kutengeneza collagen, hizi ni protini zinazojenga mwili. Mfano ngozi ili inawiri, inatakiwa kuwe na collagen. Watoto huwa wanatengeneza collagens nyingi sana, ndiyo maana ngozi zo ni laini. Mtu akianza kuzeeka utengenezaji wa collagen unapungua, ndiyo maana ngozi inakuwa na mikunjo (pamoja na nywele kulainika, na viungo kuuma).
Inatumikaje na matokeo ni siku ngapi ?Androgenetic alopecia (upara) unatokana na mwili kuzuia damu (ambayo ina virutubisho vyote) kwenda kwenye nywele. Baadae nywele zinanyauka na kupotea (ila shina la nywele linakuwepo). Derma roller inafanya zoezi la Microneeddling inachofanya ni kulazimisha mwili kupeleka virutubisho kwenye shina la nywele kama ilivyokuwa zamani, na hivyo nywele kuanza kuota
Naweka video jinsi ya kutumia, matokeo kuanzia wiki mbili nywele zinaanza kuota mpaka miezi mitatu nywele zinakuwa zimejaa utumiaji wake ni endelevu kati ya miezi 6 mpaka mwaka upara unafutika kabisaInatumikaje na matokeo ni siku ngapi ?
Hii naweza kuamini aisee.Naweka video jinsi ya kutumia, matokeo kuanzia wiki mbili nywele zinaanza kuota mpaka miezi mitatu nywele zinakuwa zimejaa utumiaji wake ni endelevu kati ya miezi 6 mpaka mwaka upara unafutika kabisa
Ndiyo 💯, video inagoma, kama hutojali njoo WhatsApp nikutumie videoHii naweza kuamini aisee.
Maana inafanya kama vidonda then mwili unatuma taarifa za kuponya hayo maeneo kisha kinachofuata na nywele zinapata virutubisho.
Kwa kuwa hii ni natural process, inachukua muda kuona matokeo na pia inategemea na umri na muda gani umeshakuwa na kipara.Inatumikaje na matokeo ni siku ngapi ?
Asante sana.Kwa kuwa hii ni natural process, inachukua muda kuona matokeo na pia inategemea na umri na muda gani umeshakuwa na kipara.
Hata hivyo, ukianza leo, matokeo utaanza kuyaona baada ya miezi mitatu hivi, kwa mbali utaona vinywele vidogo sana vikiota (piga picha kabla ya kuanza zoezi na baadae kila baada ya wiki mbili, kulinganisha). Kwa matokeo chanya zaidi endelea kufanya kila baada ya wiki mbili, kwa mwaka mmoja.
Collagens baada ya kutengenezwa kwenye ngozi zinadumu miaka 5 hadi 7. Hivyo nywele zitakuwa zinapata "busti" kwa muda wote huo.
Asante sana.
So after 7 years upara unarudi au sijaelewa miimi ?
Ndiyo [emoji817], video inagoma, kama hutojali njoo WhatsApp nikutumie video
Kwa sababu wana akili, na kwa kuwa akili ni mingi, basi wanakuwa na busy kutafuta pesa, na kwa kuwa wapo busy unahisi wanaringa.Upara wengi wanaringa nao
Nalog off