Mkuu naomba kama hutojali uni pm namba ya whatsap ili naminipate hiyo video ya jinsi ya kudeal na upala. Nimehanagaika nao sana. Msaada wako tafadhariNdiyo 💯, video inagoma, kama hutojali njoo WhatsApp nikutumie video
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naomba kama hutojali uni pm namba ya whatsap ili naminipate hiyo video ya jinsi ya kudeal na upala. Nimehanagaika nao sana. Msaada wako tafadhariNdiyo 💯, video inagoma, kama hutojali njoo WhatsApp nikutumie video
Mkuu naomba kama hutojali uni pm namba ya whatsap ili naminipate hiyo video ya jinsi ya kudeal na upala. Nimehanagaika nao sana. Msaada wako tafadhari
Namba ya WhatsApp +255 621 142 409Boss, naomba nije Whatspa nipate elimu zaidi. Naomba number
Kinauzwaje hicho kifaa
Kwa hiyo mkuu chamoto hapo ni kutumia tu hicho kifaa (Derma roller) baaasi hakuna dawa ya kupaka wala kunywa, na hiyo roller inapatikanaje mkuu.
Na kwa nini upara uote juu tu usione chini ya kisogo ?Mi nashangaa kitu kimoja, kwanini Nywele ziote kote ila katis zisiote ikiwa kuna kitu kazi yake ni kuotesha Nywele..... au kinachagua pa kuotesha
Na kwa nini upara uote juu tu usione chini ya kisogo ?
Au upara usiwe pembeni ya kichwa bali ni katikati tu ?
HIli swali huwa najiuliza sana kila siku why ?Mi nashangaa kitu kimoja, kwanini Nywele ziote kote ila katis zisiote ikiwa kuna kitu kazi yake ni kuotesha Nywele..... au kinachagua pa kuotesha
Kweli Mkuu Maana wengine wanaota upara na unapona vizuriHIli swali huwa najiuliza sana kila siku why ?
Kama inshu ni horomene mbona sehemu zingine inafanya kazi ?
Huwenda dawa ya upara ni ndogo ila tunafichwa
Nani alipona mkuu...?Kweli Mkuu Maana wengine wanaota upara na unapona vizuri
Nani alipona mkuu...?
Mimi bado nsumiza kichwa how nawez kutibu upara,maana siamini kama genetic disorders hazitibiki mimi akili yangu inaniambia kwamba tatizo sio genetic bali kuna shida sehemu ambayo ikiwa fixed tatizo linaisha.
UNaeeza kutupa shuhuda ambao wamepona mkuu ?
Kuna issue ya blood flow katika scalp ambayo huwa naifikiria kwamba inaweza kuwa ni miongoni mwa sababu za watu kutoa upara.Upara ambao ndo unaanza ndo nimeona watu wanautibu kwa kula Sana parachichi na kutumia mnyonyo hiyo ndo Ushuhuda lakini upara ambao umeshakubali unaowaka huo bado Mkuu.
Huweda ni kama cancer tu kwamba ikiwa katika stage kubwa ni vigumu kuiponya.lakini upara ambao umeshakubali unaowaka huo bado Mkuu.
Kuna issue ya blood flow katika scalp ambayo huwa naifikiria kwamba inaweza kuwa ni miongoni mwa sababu za watu kutoa upara.
Yaani huwenda damu haifiki vyema pale juu ya utosi na kufanya nywele zisipate nutrients za kutosha,ila bado nina doubt kwamba why ni kwa wanaume tu ? Na sio kwa wanawake sasa...?
Kuna njia pia ya kuifanyia microneedling kwa kutumia visindano vidogo vidogo kama kifaa cha dermaroller ambacho husadikika kinatengeneza vidonda vidogovidogo ambavyo vinafanya issue ya healing kutokea.
Na kukitokea issue ya healing maana yake all the nutrients ambazo ni za muhimu zitakuja hapo na uponyaji unaanza.
By the way hii issue ni mtambuka sana.