Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Acha tuendelee kuishi navyo kichwani maana hakuna namna...Mbona upara fresh tuu, watu wanahangaika na nini?
Fanya micro needling (1× two weeks) kwenye sehemu inayoota kipara.Fafanua boss
Unapaka kichwani,lazima unyoe nywele zoteZinatumikaje hizo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila na vyenyewe vipara vimetofautiana aisee. Maana kuna kingine ukikiona unajua kabisa hii gongo ndio mchawi
Micro needling ndio zoezi gani?Fanya micro needling (1× two weeks) kwenye sehemu inayoota kipara.
Baada ya wiki mbili hivi ngozi ikipona, itaanza kutengeneza collagens. Hizi huzirutubisha nywele na kuanza kuota upya.
Usioshe kichwa na maji/sabuni kwa masaa 48, baada ya kufanya microneedle. Kaa mbsli na jua(UV) katika kipindi hicho.
Siyo zoezi, ni visindano vidogo vidogo vinavyochoma ngozi (micro tear). Ngozi ikianza kupona inaanza kutengeneza collagen. Derma roller inaweza kutengneza hiyo microtear.Micro needling ndio zoezi gani?
Duuuh kazi ipoSiyo zoezi, ni visindano vidogo vidogo vinavyochoma ngozi (micro tear). Ngozi ikianza kupona inaanza kutengeneza collagen. Derma roller inaweza kutengneza hiyo microtear.
View attachment 2009608
Kwa hiyo mkuu chamoto hapo ni kutumia tu hicho kifaa (Derma roller) baaasi hakuna dawa ya kupaka wala kunywa, na hiyo roller inapatikanaje mkuu.Siyo zoezi, ni visindano vidogo vidogo vinavyochoma ngozi (micro tear). Ngozi ikianza kupona inaanza kutengeneza collagen. Derma roller inaweza kutengneza hiyo microtear.
View attachment 2009608
ujue we bwege sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rudia bosi
Wanawake wa Kichaga wamachame wanaongoza kuwa na makomwe na vipara kama wanaume ndo maana wababe.Sioni shida ya upara hasa kwa mwanaume, ila kwa mwanamke kua na upara lazma imsumbue.
Mwanaume unaanzaje kutafta madawa kutibu upara aisee, unapoteza ela zako tu.
Kipara kwa mwanamke sio poa mzee.Wanawake wa Kichaga wamachame wanaongoza kuwa na makomwe na vipara kama wanaume ndo maana wababe.
Haswa kipindi hiki cha jua kali unashauriwa kukaa mbali na watu wenye upara kwa sababu ubongo ukichemka hatujui atafanyajeKipara kwa mwanamke sio poa mzee.
Haina haja ya kutumia dawa, mwili wenyewe unapeleka virutubisho ukianza kuponyesha hizo micro tears, damu nyingi inapelekwa hapo na hivyo kuweza kurutubisha nywele.Kwa hiyo mkuu chamoto hapo ni kutumia tu hicho kifaa (Derma roller) baaasi hakuna dawa ya kupaka wala kunywa, na hiyo roller inapatikanaje mkuu.