Ijue sayansi ya upara na uwezekano mkubwa wa kuutibu kwake

Mimi nimekuwa nikiamini kwamba upara wa kurithi unatibika.

Je una maoni gani katika hili mkuu ?
 
Inatumikaje na matokeo ni siku ngapi ?
 
Naweka video jinsi ya kutumia, matokeo kuanzia wiki mbili nywele zinaanza kuota mpaka miezi mitatu nywele zinakuwa zimejaa utumiaji wake ni endelevu kati ya miezi 6 mpaka mwaka upara unafutika kabisa
Hii naweza kuamini aisee.

Maana inafanya kama vidonda then mwili unatuma taarifa za kuponya hayo maeneo kisha kinachofuata na nywele zinapata virutubisho.
 
Hii naweza kuamini aisee.

Maana inafanya kama vidonda then mwili unatuma taarifa za kuponya hayo maeneo kisha kinachofuata na nywele zinapata virutubisho.
Ndiyo 💯, video inagoma, kama hutojali njoo WhatsApp nikutumie video
 
Inatumikaje na matokeo ni siku ngapi ?
Kwa kuwa hii ni natural process, inachukua muda kuona matokeo na pia inategemea na umri na muda gani umeshakuwa na kipara.

Hata hivyo, ukianza leo, matokeo utaanza kuyaona baada ya miezi mitatu hivi, kwa mbali utaona vinywele vidogo sana vikiota (piga picha kabla ya kuanza zoezi na baadae kila baada ya wiki mbili, kulinganisha). Kwa matokeo chanya zaidi endelea kufanya kila baada ya wiki mbili, kwa mwaka mmoja.

Collagens baada ya kutengenezwa kwenye ngozi zinadumu miaka 5 hadi 7. Hivyo nywele zitakuwa zinapata "busti" kwa muda wote huo.
 
Asante sana.

So after 7 years upara unarudi au sijaelewa miimi ?
 
Asante sana.

So after 7 years upara unarudi au sijaelewa miimi ?

Kama utaacha kabisa kufanya microneedling kwa miaka 7, nywele zitaanza kupotea, collagens zikiisha. Unatakiwa kuendelea kufanya zoezi hilo baada ya ule mwaka mmoja, kwa kupunguza frequency yake, badala ya kila wiki mbili unafanya kila miezi mitatu hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…