Ijue sayari ya Jupiter kwa uchache

Kama Kuna la ziada ongezea nyama kidogo nahisi Kuna kitu unajua
 

Hili Somo Gumu Sana
 
Yeah,,upo vizuri nilikupa challenge kidogo,,ili wasoma comments waajue Hilo maana wabongo wabishi Kuna wapo niliwaambiaga ukiwa Venus the day is longer than a year wakabisha
 
...Inachukua Muda Gani ili Kuifikis Kutoka Duniani???
 
...Inachukua Muda Gani ili Kuifikis Kutoka Duniani???
... inachukua muda gani kufika Bukoba kutokea Mtwara? Inategemea na kasi ya usafiri au means utakayotumia. Kwa miguu? Baiskeli? Bajaji? Boda? Gari? Ndege? Na sidhani kama kuna yeyote aliyewahi ku-land huko so far.
 
Jupiter imeundwa na vipengele sawa na Vya Nyota Jua ( Hydrogen na Helium ) Lakini hazipo kwa wingi sana na Hazina Uwezo wa Kufanya mchakato ambao huzalisha pressure na Joto ambalo ni la lazima na kupelekea kusababisha Hydrogen to Fuse Helium ili iweze kuwaka , ambapo mchakato huo hufanyika kwa wingi sana kwenye Nyota Jua na mpaka kusababisha kuwaka .

 

1. Jupiter is the king of planets by mass

2. Its Great Red Spot is actually a planetary-sized storm that has been raging on for centuries

3. The first astronomers to track Jupiter were Babylonians

4. Jupiter has the shortest day of all planets, despite its hefty size

5. Jupiter has the strongest magnetic field of any planet in the solar system

6. Jupiter has a thin ring system

7. Jupiter has 79 moons and counting

8. And some of these moons may actually be capable of harboring life

9. Jupiter has the brightest auroras in the solar system

10. Jupiter is a ‘failed star’

11. Jupiter is the solar system’s asteroid vacuum cleaner

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…