luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Kwa ungo mkuu?😀Nit
Nitakupitia ndio namalizia kuandaa usafiri wa kutupeleka huko, jiandae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ungo mkuu?😀Nit
Nitakupitia ndio namalizia kuandaa usafiri wa kutupeleka huko, jiandae.
Kwani Pluto ishafutwa sio sayari?Sayansi inabadilika sana. Mwaka 2001 nilisomaga dunia inaingia mara 11 kwa ukubwa wa jupiter wakati huo pluto tukiihesabu kama sayari.
Leo ukifanya mtihani na watoto unaweza kufeli si kwa sababu hujui, bali umepitwa na wakti.
Ndio Haina sifa Sawa na sayari zingineKwani Pluto ishafutwa sio sayari?
Jana ilikua, tar 26 September. Kuna mtu aliweka uzi.Hapo kwenye no 2,Je hiyo sayari naionaje kwa macho ya kawaida?je ina tarehe rasmi za kuonekana au ndio kila siku naweza iona?
Ooh thanx,japo nimesikitika nimepata taarifa nje ya tukio,nimetamani ningeionaJana ilikua, tar 26 September. Kuna mtu aliweka uzi.
Jupiter kuwa karibu zaidi na Dunia siku ya leo 26 September
Cha muhimu tufike tu basi.Kwa ungo mkuu?😀
Jana ilionekana ilikua inang'aa sana wenye iphone walikua na uwezo wa kutumia magnifier kuiona kwa karibu zaidi.Ooh thanx,japo nimesikitika nimepata taarifa nje ya tukio,nimetamani ningeiona
Sayari ya Jupiter Haina solid surface kama terrestrial planets (mercury, venus, earth na mars)1: Sayari ya Jupiter ni sayari kubwa kuliko zote kwenye mfumo wa jua.Kwa makadirio ina upana kwa kilomita 142,000 kutoka kwenye Equator yake.Sayari ya jupiter ni kubwa kiasi ambacho unaweza kuzikusanya sayari zingine 7 zilizobaki na kuziingiza zikaenea ndani yake. Kwa dunia yetu, inaweza kuingia mara 1,300 ndani ya Jupiter. Kwa maana ingine, ili upate ukubwa wa sayari ya Jupiter basi kusanya dunia 1,300 ziunganishe kwa pamoja. Kama Jupiter ingekua na ukubwa mara 80 zaidi ya hivi ilivyo basi ingekua na sifa ya kua nyota.
2: Jupiter ni sayari ya tano kwenye mfumo wa jua. Jupiter inasifika Kia sayari ang'avu nyuma ya Venus. Kutokana na sifa hii, sayari ya Jupiter inaweza kuonekana kwa macho kutoka duniani pasipo na shida yoyote.
3: Jupiter ni sayari ilioundwa kwa gesi (Hydrogen na Helium).Pia Jupiter inasifa za kujizungusha yenyewe (Rotation) kwa kasi sana kuliko sayari nyingine yoyote kwenye mfumo wa jua.Inachukua masaa 10 tu kwa sayari ya Jupiter kumaliza mzunguko wake mwenyewe huku ikichukua miaka 12 kufanya mzunguko wake kati jua (Revolution)
Nb: Dunia inajizungusha (Rotation) kaa masaa 24 huku ikizunguka jua kwa siku 365.Kwa maana ingine, mwaka mmoja katika sayari ya Jupiter ni sawa na miaka 12 duniani[emoji16]
.
4: Jupiter inasifika kwa kua na kani kubwa ya mvutano (Gravitational force) kuliko dunia kwa zaidi ya 2.4 zaidi ya dunia.Kwa maana kama mtu ana uzito wa 100kg duniani,basi kwenye sayari ya Jupiter atakua 240kg.
5: Jupiter inasifika kwa kua na nguvu kubwa ya sumaku (Magnetic fields) hii no kutokana na mikusanyiko wa gas. Duniani, hydrogen ipo kama gesi lakini kwenye sayari ya Jupiter, hydrogen ipo kama maji.Hii ni kutokana na pressure kua kubwa. Kwa kadri ambavyo anizunguka, sayari ya Jupiter hua inanasa na kukusanya viwawe vidogo vidogo vinavyopita pembeni yake.
6: Jupiter ina jumla ya miezi 79 na zaidi na mine kati yao ni mikubwa kuliko hata dunia.Miezi mikubwa ya Jupiter ni pamoja na Europa,Callisto, Ganymede na Io. Kati ya miezi hiyo ni mwezi mmoja tu (Europa) inayozaniwa Luna uwezekano wa mwanadamu kuishi. Pia inazaniwa ndani ya Europa kuna unyevunyevu (maji) ambayo ndani yake kuna viumbe hai kama samaki nk.
NB: Sayari ya Jupiter inatajwa kama moja ya sayari pendwa sana kuzifanyia uchunguzi kwa wanasayansi[emoji110][emoji119].
View attachment 2369537
Nyambaff[emoji23][emoji23][emoji23]Kungekuwa kunafikika kirahisi mimi ningejiendea kuishi huko[emoji28] nikajilie samaki ambao hawana hizi dawa za maiti.
kutoka duniani mpaka mwenzini ni almost 300,000km kwahiyo spaceship zinafika kwa muda wa siku tatu ,na ilikutua ni kwamba wakifika kwenye anga la mwezi ile lander inachomoka kwenye spaceship inatua kwenye uso wa mwezi kwa gravity
Huwezi Mkuu, kuna pressure kubwa sana. Kabla haujafika hata katikati rocket itakua crushedJupiter, the gas Giant.
Hivi unajua ukiwa kwenye rocket unaweza ukapita katikati ya jupiter na kutokea upande wa pili??
Inamaana ujasoma secondary haya mambo mkuu, au ujasoma advance geographyUmetufungua masikio na macho kidogo naubongo umepata kitu angalau[emoji275]
Somo linaningia barabaraits not true kwamba you see them up on our sky bcoz hata hiyo sky haiko up wala down ,dunia inavyofanya spining kila uelekeo utakaoelekea utaona sky na utaona ni up.the space traveller wanatoka nje ya atmosphere mpaka kwenye obirt ya dunia then wanaizunguka dunia kutafuta timing ya kutua mwezini au kwenda kwenye obirt ya mwezi kuzunguka huku wakifanya mission zao zilizowapeleka huko.ukiwa duniani utaona mwezi upo juu yako na wanaonda huko utaona wanaruka kwenda juu,na ukiwa mwezini utaona dunia ipo juu na kurudi duniani utaonekana unaruka kwenda juu
Mbna kashafafanua vzr maswal yako hayoUfafanuzi kuhusu hizo sayari zilipo tafadhali.
1.Je, ni juu, chini au pembeni ya dunia?
2.Je hizo kubwa kuliko dunia nikumaanisha kuwa dunia imo ndani ya hizo?
3.Kuna mchangiaji alisema ukiwa ukitaka kwenda kwenye mwezi unapanda juu lakini tena ukiwa mwezini ukitaka kwenda duniani unapanda juu...,hii iko vipi?