Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahyo kumbe Jupiter ni gesi tu hizo ambazo haziwaki...kwahyo unaweza kupita katikatiJupiter imeundwa na vipengele sawa na Vya Nyota Jua ( Hydrogen na Helium ) Lakini hazipo kwa wingi sana na Hazina Uwezo wa Kufanya mchakato ambao huzalisha pressure na Joto ambalo ni la lazima na kupelekea kusababisha Hydrogen to Fuse Helium ili iweze kuwaka , ambapo mchakato huo hufanyika kwa wingi sana kwenye Nyota Jua na mpaka kusababisha kuwaka .
Mkuu Uko sawa! Ingawa nilisoma Physics zamani(KAMA SIKUSAHAU),Issue ni mifano yake ya 100kg na 240kg. Hizo ni mass. Zinabadilika vipi wakati kitu ni hicho hicho?
uliza swali mkuu
uliza swali mkuu
Jupiter, the gas Giant.
Hivi unajua ukiwa kwenye rocket unaweza ukapita katikati ya jupiter na kutokea upande wa pili??
Mkuu kweny Jupiter kitu chochote kikikaribia tu kinayeyushwa kama maji na barafu
Jupiter imeundwa na vipengele sawa na Vya Nyota Jua ( Hydrogen na Helium ) Lakini hazipo kwa wingi sana na Hazina Uwezo wa Kufanya mchakato ambao huzalisha pressure na Joto ambalo ni la lazima na kupelekea kusababisha Hydrogen to Fuse Helium ili iweze kuwaka , ambapo mchakato huo hufanyika kwa wingi sana kwenye Nyota Jua na mpaka kusababisha kuwaka .
Mkuu Uko sawa! Ingawa nilisoma Physics zamani(KAMA SIKUSAHAU),
Mass haibadiliki,ila Weight ndiyo ina badilika kutokana na acceleration of gravity g.
Weight,F=mg, dunian,g=9.8m/second/second.
Kama kule g ni mara 2.4 ya earth,then g ya Jupiter =9.8x2.4=23.52m/s/s.
Weight kwenye Jupiter,F=100kg x 23.52m/s/s=235.2N approx=240N
Hata hivyo nilishasahau!!
kila kitu huko angani kipo kwenye movement hivyo kabla ya hhivyo vitu havijakwenda huko angani kuna mahesabu makali sana yanakua calculatedNaomba kuuliza vitu vinavyo enda anga za mbali vipi hawawezi kugonga vitu vingumu huko angani?
kutoka duniani mpaka mwenzini ni almost 300,000km kwahiyo spaceship zinafika kwa muda wa siku tatu ,na ilikutua ni kwamba wakifika kwenye anga la mwezi ile lander inachomoka kwenye spaceship inatua kwenye uso wa mwezi kwa gravityWanafikaje huko kwenye anga za mbali kama mwezini na wanatua vipi huko Ahsante.
YesHvi unazijua hzo Gas nilizokutajia ww
Hakuna udongo pale...ni magesi tuImekaaje hii