Ijue sayari ya Jupiter kwa uchache

Sayansi inabadilika sana. Mwaka 2001 nilisomaga dunia inaingia mara 11 kwa ukubwa wa jupiter wakati huo pluto tukiihesabu kama sayari.

Leo ukifanya mtihani na watoto unaweza kufeli si kwa sababu hujui, bali umepitwa na wakti.
Kwani Pluto ishafutwa sio sayari?
 
Sayari ya Jupiter Haina solid surface kama terrestrial planets (mercury, venus, earth na mars)
 
kutoka duniani mpaka mwenzini ni almost 300,000km kwahiyo spaceship zinafika kwa muda wa siku tatu ,na ilikutua ni kwamba wakifika kwenye anga la mwezi ile lander inachomoka kwenye spaceship inatua kwenye uso wa mwezi kwa gravity

Nimekusoma
 
Kwenye mwezi wa Europa hawajathibitisha kama kuna viumbe
 
Somo linaningia barabara

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mbna kashafafanua vzr maswal yako hayo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…