kwetugt
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 280
- 244
Shukulani Mkuusasa kubaka ni shikata kubwa, adhabu ni kubwa zaidi ya kama wote ni watoto walikubariana adhabu yake ni kama warning. Sasa kama wewe unaweza kuchukua mawasiliano yao yote, kwenye phone calls, emails, whatapps, skype's, facebook, instagrams, twitter, text messages, letters, picha, mashahidi (majirani, wanafunzi, marafiki, ndugu) kusema kama walikubariana, waliwaona wanapendana, unaweza kushinda hii case .
Lakini unatakiwa kuwa na evidence (ushahidi) to prove your case. Pia kama unaweza kuongea na huyu Msichana kama akasema anampenda huyu kijana na akulazimishwa bali walikuwa wanapendana na walikubariana utashinda hiyo case.
Mkuu kama unaweza tafuta wakili mzuri akusaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app