Sasa ukimfukuza mtu si lazima umtafutie na kwa kumfukuzia au mimi sijaelewa?Ardhi yote ya JMTZ ni Mali ya Raisi wa JMTZ zamani ilikuwa Mali ya Ufalme wa Uingereza wakamkabidhi Raisi wa JMTZ, hivyo anaweza kukufukuza kwenye ardhi yake, kwa kifupi sisi wote ni Wapangaji wake, ...
Kwamfano tu,sheria zipi hizo?Sheria zenyewe za JMTZ zinamtambua kwamba Raisi wa JMTZ yuko JUU ya Sheria za JMTZ!
Kwahiyo?!Ardhi yote ya JMTZ ni Mali ya Raisi wa JMTZ zamani ilikuwa Mali ya Ufalme wa Uingereza wakamkabidhi Raisi wa JMTZ, hivyo anaweza kukufukuza kwenye ardhi yake, kwa kifupi sisi wote ni Wapangaji wake, ...
ha ha ha ha, ngoja nisubiri jibuUnamaanisha tunaweza kufukuzwa nchi nzima siku yeyote
Kuna maelezo mengi .Serikali ya watu kwa ajili ya watu.Ni kweli ardhi ni mali ya serikali ambayo rais ndiyo mkuu hivyo kapewa jukumu na wananchi la kuhakikisha ardhi hiyo ni salama kwa maslahi ya nchi na wananchi.
Si kufukuza tu kuna exception nyingi kisheria hadi ufukuzwe siyo kama wengi mnavyodhania.
Hakuna kitu kama hicho.., ardhi yote ni mali ua serikali na sisi ni wapangaji, yeye ni kiongozi tu wa serikali..Ardhi yote ya JMTZ ni Mali ya Raisi wa JMTZ zamani ilikuwa Mali ya Ufalme wa Uingereza wakamkabidhi Raisi wa JMTZ, hivyo anaweza kukufukuza kwenye ardhi yake, kwa kifupi sisi wote ni Wapangaji wake, ...
[emoji23]Itakuwa safi.. mi kabla hajanifukuza aniombee kwanza uraia nchini Marekani wa miaka 50 ndio ani fukuz3.
Hakuna kitu kama hicho.., ardhi yote ni mali ua serikali na sisi ni wapangaji, yeye ni kiongozi tu wa serikali..
Subiri tarehe 26.04.2018 itakuwa ni siku ya alhamisi. Hadi kufikia saa nne asubuhi atakuwa anashuka kwenye bombardier Chato international Airport. Kama wakifanikiwa lakini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda ukimzidi nguvu, unaweza yaani kumpindua vinginevyo wewe ndiyo utaondoka nchi hii!
Utajua mwenyewe kwa kwenda yeye atakuwa amesha maliza kazi [emoji23]Kwa hio atanifukuzia wapi
Basi Mugabe angeshawafukuza wazimbabwe ,,,hakuna marefu yasiyo na nchaLabda ukimzidi nguvu, unaweza yaani kumpindua vinginevyo wewe ndiyo utaondoka nchi hii!
Subiri tarehe 26.04.2018 itakuwa ni siku ya alhamisi. Hadi kufikia saa nne asubuhi atakuwa anashuka kwenye bombardier Chato international Airport. Kama wakifanikiwa lakini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio lazima.Sasa ukimfukuza mtu si lazima umtafutie na kwa kumfukuzia au mimi sijaelewa?