Ijue Sheria ya Ardhi ya Tanzania ya mwaka 1999

Ardhi yote ya JMTZ ni Mali ya Raisi wa JMTZ zamani ilikuwa Mali ya Ufalme wa Uingereza wakamkabidhi Raisi wa JMTZ, hivyo anaweza kukufukuza kwenye ardhi yake, kwa kifupi sisi wote ni Wapangaji wake, ...
Sasa ukimfukuza mtu si lazima umtafutie na kwa kumfukuzia au mimi sijaelewa?
 
Ardhi yote ya JMTZ ni Mali ya Raisi wa JMTZ zamani ilikuwa Mali ya Ufalme wa Uingereza wakamkabidhi Raisi wa JMTZ, hivyo anaweza kukufukuza kwenye ardhi yake, kwa kifupi sisi wote ni Wapangaji wake, ...
Kwahiyo?!
 
Kuna maelezo mengi .Serikali ya watu kwa ajili ya watu.Ni kweli ardhi ni mali ya serikali ambayo rais ndiyo mkuu hivyo kapewa jukumu na wananchi la kuhakikisha ardhi hiyo ni salama kwa maslahi ya nchi na wananchi.
Si kufukuza tu kuna exception nyingi kisheria hadi ufukuzwe siyo kama wengi mnavyodhania.
 
Wazungu watu wabaya sana. Wanawawekea mipaka alafu wanaweka mfumo wa mtu mmoja kuwa na nguvu.

Haya sasa. Akishakufukuza unaenda wapi na hapa ndo ulipozaliwa
 
Kuna maelezo mengi .Serikali ya watu kwa ajili ya watu.Ni kweli ardhi ni mali ya serikali ambayo rais ndiyo mkuu hivyo kapewa jukumu na wananchi la kuhakikisha ardhi hiyo ni salama kwa maslahi ya nchi na wananchi.
Si kufukuza tu kuna exception nyingi kisheria hadi ufukuzwe siyo kama wengi mnavyodhania.

Watu wako chini ya Raisi wa JMTZ, huu ni urithi kutoka kwa Ufalme wa Uingereza na hatukubadilisha kitu, kama vile tulivyokuwa chini wa Ufalme wakati wa Ukoloni ndivyo leo hii tulivyo kuwa chini ya Raisi wa JMTZ, na Sheria zetu hazimuhusu, hizo ni kwa ajili yetu tu!
 
That's the truth unfortunately! Je tuna enjoy hiyo? Katiba mpya ndio muarobaini wa yote hayo, tena ile rasimu ya Warioba isiyokua imechakachuliwa
 
Ardhi yote ya JMTZ ni Mali ya Raisi wa JMTZ zamani ilikuwa Mali ya Ufalme wa Uingereza wakamkabidhi Raisi wa JMTZ, hivyo anaweza kukufukuza kwenye ardhi yake, kwa kifupi sisi wote ni Wapangaji wake, ...
Hakuna kitu kama hicho.., ardhi yote ni mali ua serikali na sisi ni wapangaji, yeye ni kiongozi tu wa serikali..
 
Ila niliwahi kusikia kuwa mkuu wa Mkoa anaweza akamfukuza mtu kwenye mkoa wake. Kama ni kweli basi inawezekana Rais ana mamlaka hayo.
 
Hakuna kitu kama hicho.., ardhi yote ni mali ua serikali na sisi ni wapangaji, yeye ni kiongozi tu wa serikali..

Unasema ardhi ni Mali ya Serikali, Serikali ni nini? Ni nani anayeiamulia Serikali cha kufanya? Ni nani anaweza kupinga uamuzi wa Raisi wa JMTZ Serikalini? Unafahamu kwamba Raisi wa JMTZ akiongea ni Sheria?
Sasa hivi Raisi wa JMTZ anaweza kusema (kinadharia) kwamba Mkoa wote wa Dar ni hifadhi na wote tuhamie Mikoa mingine na hakuna wakupinga hilo?
 
Labda ukimzidi nguvu, unaweza yaani kumpindua vinginevyo wewe ndiyo utaondoka nchi hii!
Subiri tarehe 26.04.2018 itakuwa ni siku ya alhamisi. Hadi kufikia saa nne asubuhi atakuwa anashuka kwenye bombardier Chato international Airport. Kama wakifanikiwa lakini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unachanganya mambo naona tuko frequency mbili tofauti, mimi naongelea Raisi wa JMTZ na sijamtaja Raisi xyz bali naongelea cheo cha Risi wa JMTZ, naona wewe uko kwingne!
 
Back
Top Bottom