Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

Mzee Mohammed Said, nadhani ni muda muafaka sasa ukaanza kuandika vitabu vya kitafiti kama mambo ya elimu kuhusu waislamu, uchumi, afya nk..Mlikwama wapi na nini kifanyike. Badala ya kutumia muda mwingi sana kuandika kuhusu historia.. with due respect, elimu ya waislamu zaidi ya million 20 wa nchi ni muhimu zaidi kuliko kujua personal history za kina Sykes. Zile tayari umeisha ziweka vizuri (well documented) ni muda wa kugusa matatizo yaliyopo sasa hivi... You have been trying hard to bridge the past, but the present generation needs you to bridge the future.
 
Kwaheshima tu naomba nisikujibu, maana inaonekana wewe ndo wale waislamu tunaowatetea hapa waliokosa elimu. Your arguments are irrelevant, we are talking about issues here not people. Go and play somewhere else, we are busy.
 
Mimi ni Mkristu lakini nahisi waislamu wanabidi waongezwe kwenye uongozi. Nchi yetu sote, na wao pia wapewe mizinga yao ya asali

..Nakubaliana na wewe 100%.

..haya malalamiko yamekuwepo miaka mingi na hayashughulikiwi.

..ku-balance hizo nafasi ni DAWA CHUNGU ambayo kwa maoni yangu ilitakiwa ifanywe mara moja kwa haraka. dawa chungu haupaswi kuinywa kidogokidogo.

..Maza alitakiwa a-balance hizo nafasi kwa mkupuo, mara moja, wakati ameteua baraza lake la kwanza la mawaziri, na makatibu wakuu.

..kungetokea malalamiko, na mayowe, lakini naamini yangekuwa ya muda mfupi, na sasa hivi tungekuwa tumeshavuka na kuzoea mabadiliko.
 
Kwaheshima tu naomba nisikujibu, maana inaonekana wewe ndo wale waislamu tunaowatetea hapa waliokosa elimu. Your arguments are irrelevant, we are talking about issues here not people. Go and play somewhere else, we are busy.
Too coward
 
..tatizo la Maza ni kuteua Wazanzibari badala ya Waislamu toka Tanganyika.

..hata Mzee Ruksa alikuwa akipendelea Wazanzibari badala ya kuwainua Waislamu toka Tanganyika.
Kwani tatizo liko wapi kwa Jamhuri ya Muungano
 
Last...
Mimi nimeandika mengi yaliyo na manufaa kwa nchi yetu:

PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES

The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006

Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam

Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam

The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam

Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam

In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).

Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).

Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).

Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).

Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.

Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.

Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

Awards: Several Awards

Visiting Scholar: (2011)

University of Iowa, Iowa City, USA

Northwestern University, Chicago, Illinois, USA

Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

OTHER COUNTRIES VISITED

Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.


 
Hongera, natamani natamani nijue zaidi uliandika nini kuhusiana na " The Question of of Muslim stagnation in education in in Tanzania", kwasababu tunajadili mada ya elimu hapa, tungeweza kujua zaidi kilichomo, na finding zako na reasoning. Otherwise mada nyingi za kwako ziko based kwenye dini.
 
..tatizo liko kwa Waislamu wa huku Tanganyika.

..nafasi ambazo zingeweza kujazwa na Waislamu toka Tanganyika, Maza anateua Wazanzibari.
Kaka karne hii unajadili Uzanzibari na utanganyika? Hebu toa kibanzi jichoni, sisi CCM tunakata huko baadae tuwe na Rais mmoja na serikali moja, hilo ndilo lilikuwa Tamanio la Mwl na mzee karume
 
Last...
Mimi nimetafiti sana katika historia ya Uislam Tanzania na kitabu changu kilichokuwa maarufu ni, "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924-1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism."

Ukisema dini unakosea sema Uislam.

Sababu ni kuwa wasomi wa historia wengi wao wakiwa si Waislam waliokuwapo nchini walikwepa "enquiry," hii.

Wale walioandika hawakuifanyia haki historia ya Waislam Tanzania.

Niliyoandika kwenye hiyo paper ya elimu kubwa ni tatizo la Wizara ya Elimu kuhodhiwa na watu wa imani moja na Waislam kuwa nje.

Lakini yapo mengi.
 
Kitali,
Huenda ni hofu tu ya kuukubali ukweli au kutoijua historia ya uhuru wa Tanganyika.
Unaruhusiwa kuwadanganya wavivu wa kufikiri mzee. Tangu unidanganye kuhusu historia ya uchaggan nimeelewa hata watu wavivu huzeeka.
 
Hili la dini sidhani kama lipo sn

Ila ninachokiona mleta mada ndio amebobea huko

Mbona jiwe alienda na Ukanda?
 
Unaruhusiwa kuwadanganya wavivu wa kufikiri mzee. Tangu unidanganye kuhusu historia ya uchaggan nimeelewa hata watu wavivu huzeeka.
Kitali,
Kitabu cha Sheikh Rajabu Ibrahim Kirama kimekuumiza moyo wako kwa kuwa kitabu hicho ni historia ya maisha yake jinsi alivyoingiza Uislam Machame Nkuu na kutoka hapo Uislam ukaenea Uchaggani.

Chanzo cha kitabu hiki ni Nyaraka za Rajabu Kirama ambazo mwanae Salim Rajabu alizihifadhi toka baba yake afariki mwaka wa 1962 zikapita mikono ya wanae hadi kunifikia mimi zikiwa katika hali nzuri kabisa mwaka wa 2020 nyaraka zikiwa na umri unaokimbilia miaka 100.

Ikiwa wewe unaona nimeandika uongo kwangu mimi ni sawa lakini kitabu kipo na kilizinduliwa Muslim University of Morogoro (MUM) 2021.



 
Kaka karne hii unajadili Uzanzibari na utanganyika? Hebu toa kibanzi jichoni, sisi CCM tunakata huko baadae tuwe na Rais mmoja na serikali moja, hilo ndilo lilikuwa Tamanio la Mwl na mzee karume

..Mwalimu alitamani muungano wa Afrika Mashariki.

..Tanganyika lazima irudi, ili pamoja na Zanzibar tuingie ktk muungano huo kama wanachama kamili.
 
Hili la dini sidhani kama lipo sn

Ila ninachokiona mleta mada ndio amebobea huko

Mbona jiwe alienda na Ukanda?
Luz...
Fanya utafiti ndani ya Bunge la Tanzania uangalie udadi ya Wakatoliki dhidi ya madhehebu nyingine.

Kisha idadi ya Waislam.

Nakuhakikishia utapata mshtuko mkubwa sana.

Utajiuliza hii ni bahati mbaya au ni mikakati maalum?

Ukishajua ukweli utaona kichekesho kilichopo ati Waislam kulalamika kuhusu uchaguzi wa Suni katika serikali.

Kwa taarifa ni kuwa historia ya uhuru wa Tanganyika inazunguka katika imani hizi mbili: Uislam na Ukristo.

Umuhimu wa Waislam na Wakristo umejikita kwanza katika ujumla wa wingi wao kuwa dini mbili kubwa.

Pili katika dini hizi mbili Waislam ndiyo wenye historia ya pekee katika kujikusanya kupambana na ukoloni.

Kanisa na viongozi wake hawakujitokeza kuunga harakati za uhuru.

Hii ni tofauti kubwa na Waislam.
Hili nishalieleza sana hapa kwa ushahidi.

Uhuru ulipopatikana uendeshaji wa serikali kwa sehemu kubwa ukawa mikononi mwa Wakristo kwa sababu ndiyo walioelimishwa na kanisa.

Kanisa halina tatizo wafuasi wake ndiyo wanaoendesha nchi hadi hivi sasa kwa mgao wa 80:20.

Kuna watu Waislam wanapodai haki ya kuwemo katika madaraka ya uongozi wa nchi kuna watu huja na hoja ya kuwasemea Wapagani.

Ukiwauliza Wapagani hao wametoka wapi?

Kulikuwa na chama cha siasa kilichokuwa na Wapagani wapigania uhuru?

Jibu ni kuwa hapakuwepo na kamwe hawatakuwapo.

Lakini hoja hii inapendwa sana ikidhaniwa inaweza kuwazuia Waislam jamii ambayo ikiongoza harakati za uhuru katika TANU kudai haki yao.
 
Mpeni salamu mama yenu kwamba 2025 tutampa salamu kwa vitendo kutoka baraza ka maaskofu Tanzania. Hapo akili itamkaa sawa...
 
Hizo ni historia za uislam Kilimanjaro chief sio historia za wachagga. Nilishakuambia ukitaka historia za uchaggan vipo vitabu vingi tu. Shida yako ni kutaka historia ya dini yako ndio iwe historia ya jamii. Hiyo ndio nakuambia wadanganye wavivu wenzio.
 
Acha ujinga wewe ina maana unafarijika kuona wa Imani yako tuu wamejaa maofisini soma vizuri andiko wacha mihemko watu wanaongea Kwa data huna hoja nyamaza mfia DINI ndio nyinyi mnaotaka kufungua milango ya ndege sababu roho mtakatifu kakushukia pumbaff
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…