Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

Tulia wewe, walipa kodi wakubwa nchi hii wanatoka bara, niambie nani Zanzibar mlipa kodi mkubwa? lazima tulalamike
Kaaa kwa kutulia! walipa Kodi wapi? tulete mapato hapa 80% yanakusanywa dar angalia matajiri wakubwa dar wenye viwanda vingi ni jamii gani? Sio wachuuzi wa wachina .

Hujielewi more than tril 7 inakusanywa dar na hkuna mkoa umewahi kufika hata bil 500 uwe unafuatilia sio kama kichaaa .
 
Dr Slaa ni mfano mzuri kwenye hii mada.
Kwake Mkristo ndio mtu sahihi kuongoza nchi.
Wakati wa JAKAYA Slaa alikuwa mwiba na alishambulia serikali sana,Alipoingia Magufuli,pamoja na ukatili wote lkn Slaa aliungana nae,leo Kaingia Mwislaam Slaa analob kurudi Chadema ili akapate jukwaa la kunadi chuki zake.
 
Dawa ni kukavunja haka ka muungano na kila mtu arudi kwao basi!

Wazanzibar mnakuja kuchuma huku mkituharibia Tanganyika yetu kwa kuinadi na kuiuza kwa warabu wenu.

Haya mengine waambie wapuuzi wenzenu!
Kwaakili yako ilivyo kua fupi kama kibamia, unaamini Tanzania bara hakuna Waislam?..... Ila Zanzibar ndio kuna Waislam!!

Udini ukizidi unadumaza akili.
 
Ubaguzi wa waislamu ni mbaya sio mashuleni sio kazini, na ni kama wanapewa Maelekezo ya pamoja namna ya kupendelea watu wao it's so deadly I have seen it na naendelea kuona.
labda niseme tu hayo unayosema labda ni mapungufu ya hiyo sehemu unayofanyia kazi,hivi kwa akili ya kawaida kuna Dini ya upendo wa vitendo kama Uisilamu?Kuna dini inayowajali maskini kama Uisilamu?
Na mwenyezi Mungu kaweka wazi,sadaka yako utakayoikuta ni
Unajua ukiongea kitu kama huna chembe ya Imani ni kazi sana, utauona ulimwengu wa tofauti sana,huyu mtu alikuwa anamjua Mungu kwa aliyokuwa anyafanya,lakini msiyemjua Mungu leo mnamkosoa
 
Mtoa mada uwe na adabu
Unaonesha umeanza kusoma juzi wewe au kushika simu.hiv unajua hata historia ya examinations numbers?
 
[emoji23][emoji23]
Sidhani kama issue ni dini, umekua sensitive sana. Ni sawa na wanaosema zitto ni mdini kuwa akiwa raisi mkristo anapinga akiwa muislamu anaungana nae.

Wanaowaza hivi huwa ni wapumbavu tu, wanasiasa huwa wana price tag. Ukiifikia tu hata Kama akiwa mpinzani kiasi gani ataunganaa na wewe.
 
Waislamu wanawajali maskini? Hiki ni kichekesho
 
Waislam mnapenda sana vita na ushindani. Typical bushmen behavior
Wanaopenda ushindani ni nyie,wanaopenda Vita ni nyie,mlianza tangu uhuru na mpaka Leo mkitoa sadaka mnaambiana mtoe nyingi na siyo mia mia Kama waislam..mpo sensitive Sana na uislam wakati wao wanafanya yao kivyao hawawawazi na ukiristo wenu
 
Asee umezungumza vyema sana barka llahu fikaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…