Waislam wenye uwezo walikua wakiachwa kila siku na kuteuliwa wakiristo wasio na uwezo,zoweaMuulizeni anaeteua. So hata kama kuna wakristo wenye uwezo awaache akawachukue kina abdala ili mjiskie vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waislam wenye uwezo walikua wakiachwa kila siku na kuteuliwa wakiristo wasio na uwezo,zoweaMuulizeni anaeteua. So hata kama kuna wakristo wenye uwezo awaache akawachukue kina abdala ili mjiskie vizuri
Kaaa kwa kutulia! walipa Kodi wapi? tulete mapato hapa 80% yanakusanywa dar angalia matajiri wakubwa dar wenye viwanda vingi ni jamii gani? Sio wachuuzi wa wachina .Tulia wewe, walipa kodi wakubwa nchi hii wanatoka bara, niambie nani Zanzibar mlipa kodi mkubwa? lazima tulalamike
Alooh kazikazi sioIla hii ni roman empire!?..nyakati zimebadilika,siyo 1970s,80s hii,na tunakoelekea waislam watateuliwa wengi zaidi ya dini zingine,na hakuna kitu mtafanya,mkitaka vurugu tutasafisha uwanja wa vurugu tuwaoneshe vurugu zilivyo
🚮watu wenye inferiority complex kazi sana kuishi naoWaislam wenye uwezo walikua wakiachwa kila siku na kuteuliwa wakiristo wasio na uwezo,zowea
Wanaume tunawaongoza nyie endeleni kukubali ushogaWewe dada tulia tuachie hizi mambo wanaume
Hongera kwa ujazito mkuuWanaume tunawaongoza nyie endeleni kukubali ushoga
Hongera kwa ujazito mkuuWanaume tunawaongoza nyie endeleni kukubali ushoga
Kwaakili yako ilivyo kua fupi kama kibamia, unaamini Tanzania bara hakuna Waislam?..... Ila Zanzibar ndio kuna Waislam!!Dawa ni kukavunja haka ka muungano na kila mtu arudi kwao basi!
Wazanzibar mnakuja kuchuma huku mkituharibia Tanganyika yetu kwa kuinadi na kuiuza kwa warabu wenu.
Haya mengine waambie wapuuzi wenzenu!
Nani ana inferiority complex!?..nyinyi mnaolia teuzi za waislam!?🚮watu wenye inferiority complex kazi sana kuishi nao
labda niseme tu hayo unayosema labda ni mapungufu ya hiyo sehemu unayofanyia kazi,hivi kwa akili ya kawaida kuna Dini ya upendo wa vitendo kama Uisilamu?Kuna dini inayowajali maskini kama Uisilamu?Ubaguzi wa waislamu ni mbaya sio mashuleni sio kazini, na ni kama wanapewa Maelekezo ya pamoja namna ya kupendelea watu wao it's so deadly I have seen it na naendelea kuona.
Unajua ukiongea kitu kama huna chembe ya Imani ni kazi sana, utauona ulimwengu wa tofauti sana,huyu mtu alikuwa anamjua Mungu kwa aliyokuwa anyafanya,lakini msiyemjua Mungu leo mnamkosoaSiungi mkono watu kuteuliwa au kubaguliwa kwa kigezo Cha dini.
Ila ishu ya wanafunzi kuomba darasa Ili kufanyia ibada,tofauti ya wakristo na Islam,ni kwamba,kwa wakristo darasa lolote wanaweza kufanyia ibada na likatumika kwa mambo Mengine,islam wanataka darasa liwe designated kama msikiti mdogo,hakuna mtu mwingine asie islam kuingia,hii si sawa kwenye taasisi za umma.
Nilikutana na waislam kutoka Zenj, DIT wakataka darasa moja litengwe kama sehemu ya Swala,na hakuna mtu mwingine kuingia na viatu,uongozi ukakataa,wazenj wakaona Bora wafanyie Swala chini ya mti kuliko madarasani,Kuna najisi.
Alikuwepo meneja mmoja wa Kanda wa kampuni moja ya simu,ofisini kwake alipiga marufuku watu kuingia na viatu,akataka kuleta zile tamaduni za kiislam,Arab kazini,anafunga ofc,anapiga Swala wakati Kuna watu wamekuja kuleta biashara za mamilioni,
Kampuni,ikaona ujinga huu,ikampiga chini.
Uislam,Ukristo,ukabila hautaleta maendeleo ya nchi,kama Mimi ni mkristo,na mzaramo,hata wakiteuliwa waislam na wazaram watupu,Mimi inanipa faida gani?maana wanafaidi wao na familia zao,
Mimi naendelea kupigika tu
Mtoa mada uwe na adabuNakushangaa kwanini umeangalia uongozi wa NECTA pekee na kutolea mfano, inawezekana kabisa una fikra mgando hiyo ndio sababu ya shule nyingi za kiislamu kufanya vibaya kwemye mitihani ya kitaifa.
Ndio maana wakati fulani mlipiga kelele Ndalichako aondolewe, sijui mkafaidi nini baada ya pale, nyie wazee wa JF mna thinking ya ajabu sana, tena iliyopitwa na wakati kabisa.
[emoji23][emoji23]Dr Slaa ni mfano mzuri kwenye hii mada.
Kwake Mkristo ndio mtu sahihi kuongoza nchi.
Wakati wa JAKAYA Slaa alikuwa mwiba na alishambulia serikali sana,Alipoingia Magufuli,pamoja na ukatili wote lkn Slaa aliungana nae,leo Kaingia Mwislaam Slaa analob kurudi Chadema ili akapate jukwaa la kunadi chuki zake.
Hebu toa orodha za teuzi za rais kwa mujibu wa dini tuone kateua dini ipi wengiPole shehe. Samia ni mdini na itamgharimu yeye na chama. Chama kiangalie namna vinginevyo uchaguzi ujao ni shida
Waislamu wanawajali maskini? Hiki ni kichekesholabda niseme tu hayo unayosema labda ni mapungufu ya hiyo sehemu unayofanyia kazi,hivi kwa akili ya kawaida kuna Dini ya upendo wa vitendo kama Uisilamu?Kuna dini inayowajali maskini kama Uisilamu?
Na mwenyezi Mungu kaweka wazi,sadaka yako utakayoikuta ni
Unajua ukiongea kitu kama huna chembe ya Imani ni kazi sana, utauona ulimwengu wa tofauti sana,huyu mtu alikuwa anamjua Mungu kwa aliyokuwa anyafanya,lakini msiyemjua Mungu leo mnamkosoa
Wanaopenda ushindani ni nyie,wanaopenda Vita ni nyie,mlianza tangu uhuru na mpaka Leo mkitoa sadaka mnaambiana mtoe nyingi na siyo mia mia Kama waislam..mpo sensitive Sana na uislam wakati wao wanafanya yao kivyao hawawawazi na ukiristo wenuWaislam mnapenda sana vita na ushindani. Typical bushmen behavior
Ijumaa tembelea misikitini,jumapili nenda kanisani...uone wapi watu huenda kupata misaadaWaislamu wanawajali maskini? Hiki ni kichekesho
Asee umezungumza vyema sana barka llahu fikaa.Tangu Rais Samia aingie madarakani amefanya teuzi nyingi tu na katika teuzi hizo wapo watu wamekaa standby kuangalia majina ya Kizungu (isomeke Kikristo) na Kiarabu (isomeke Kiislamu) ili waone kuwa watu wanaoendana nao kiimani "wameula" zaidi au la!
Nataka nieleze sababu za hivyo:
1. Mosi, kuna sense of entitlement.
Kwa miaka mingi sana nchini tangu Uhuru mpaka leo hii, nafasi za Utumishi wa Umma na Serikali zimekaliwa zaidi na Wakiristo kuliko Waislamu. Teuzi nyingi kuanzia Nyerere hadi leo hii Rais Samia, teuzi nyingi zinakwenda kwa Wakiristo.
Hali hii imelalamikiwa sana na Waislamu kwa miaka mingi, kuwa, hili jambo lina ukakasi. Iweje teuzi ziende kwa watu wa mrengo mmoja tu kila wakati wakati nchi hii ni yetu sote, na watu wenye vigezo wapo pande zote? Majibu ambayo watu hawa wamekuwa wakipata ni kejeli, kuwa nyie hamjasoma, kuwa nyie mnaendekeza elimu dunia lakini hoja yao hiyo imekuwa proven wrong.
Hasa ikafikia hadi Sheikh Khalifa kutoa orodha ya Waislamu wasomi mamia kwa mamia, lakini licha ya hivyo wamekuwa wakifumbiwa macho. Sasa leo, Samia licha ya bado kuendelea kuteua Wakiristo wengi zaidi lakini angalau kidooogo waislamu nao wanaonekana kwa mbali.
Hili limeshtua wale waliozoea kuona teuzi za mrengo mmoja, wanahaha, wamepandwa na ghadhabu, wanataka waendelee kuteuliwa watu wa imani yao kwa wingi uleule (over representation) kama zamani.
2. Sababu ya pili ni kuwa, Siyo kweli kuwa baadhi ya hawa wanaolalamikia udini katika teuzi hawajui kuwa Samia bado anateua Wakiristo wengi zaidi kuliko Waislamu.
Bali wanataka kumblackmail ili asije akazoea kuteuateua Waislamu. Wanampa meseji kuwa, ukijaribu kubadili status quo katika nchi hii ya kuwapa nafasi watu wa imani nyingine katika Utumishi wa Serikali kwa wingi kama sisi basi tutakusagia kunguni kwa watu wa imani yetu ili upate wakati mgumu kisiasa.
Kwa hiyo hizi kelele kimsingi ni fitina ya kumchonganisha Rais na Wakiristo ili Rais aogope kuwapa Waislamu nafasi na kwa hiyo Status quo ya Wakiristo kuendelea kudominate Utumishi wa Umma na Serikali, uendelee kama ilivyokuwa tangu Serikali ya Awamu ya Kwanza hadi leo.
3. Sababu ya tatu ni chuki tu, na ufia dini.
Islamophobia is real, kuna watu wanaamini kuwa, kwa kuwabagua watu wa dini nyingine na kuwapendelea watu wa dini yao ni kumfanyia Mungu Ibada!
Wapo watu makazini wakiona kuna wafanyakazi wanavaa hijabu, muda wa swala umefika wanaenda kuswali, au Salamu ya "Assalam Aleikum" imekuwa nyingi katika korido za ofisi wanaanza kuchukia, wanajenga hila mioyoni mwao na kibaya zaidi kuna baadhi wanakwenda mbali hadi ku collude na like minded people ili kuwaletea fitina wenzao n.k.
Enzi hizo wakati nasoma katika chuo kikuu kimoja hapa nchini, wanafunzi Waislamu waliomba chumba kimoja kilicho idle ili wafanye ibada wakazunguushwa mno, wengine wakawa wanapewa vitisho vya siri kuwa wawe makini na ajenda yao hiyo kwamba wachague chuo au dini (yaani ni kitisho cha kupigwa fitina hadi wafukuzwe chuo).
Lakini at the same time, kila siku jioni na siku za Jumamosi na Jumapili madarasa ya chuo hichohicho Wakiristo wameruhusiwa kuyatumia kusali na kuabudu. Umeona aina hii ya chuki, choyo na roho mbaya?
Ushauri wangu:
1. Watanzania tuachane na habari za kutaka upendeleo katika ajira na teuzi. Hii nchi ni yetu sote. Si vizuri kunung'unika watu wa imani nyingine pia wakipata fursa za kuhudumu katika nchi.
2. Lakini kama tunaona upendeleo wa dhahiri katika teuzi, hapo kweli tuseme na tupige kelele. Kuna wakati nchi hii Rais mmoja aliunda Baraza la Mawaziri la watu zaidi ya 20 akaweka Waislamu watatu. Sasa katika situation kama hiyo kweli hapo jamii nzima haipaswi kukaa kimya.
Hivyo hivyo leo hii Samia akiunda Baraza la Mawaziri akaweka Wakiristo watatu tu hata mimi sitokaa kimya. Tusiwe na double standard, kwamba teuzi zikifavour watu wetu tunanyuti, ila wengine wakianza kuchomoza basi tunakuja hapa JF kuanzisha nyuzi lukuki za udini. Hiyo siyo fair.
3. Tuzidi kuimarisha, Umoja, Amani na Mshikamano. Nchi hii Wakiristo are here to stay, Waislamu are here to stay. Yesu hakuoni mfuasi wake bora kwa kuwa mbaguzi na wala Mtume Muhammad hakuoni mfuasi wake bora kwa kuvunja amana za watu wote. Tupendeane mazuri.
Nawasilisha.
Huna hoja sasa utajibu nn🤣Hongera kwa ujazito mkuu