ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Iwapo tume wanawatambua hawa "wabunge" wa kupita (kupitishwa) bila kupingwa, wanawatambua kwa sheria ipi, iwapo katiba iko wazi na hakuna inapowatambua?Niliandika mada humu majuzi lakini Mod wakaitowa na sijui hata kwa sababu gani niliuliza, "IKIWA MMOJA YA MGOMBEA ATAFARIKI KABLA YA SIKU YA KUPIGA KURA, UCHAGUZI UNAGHAIRISHWA. KWA NINI WANAOPORWA FOMU WASIPEWE NAFASI YA KUPELEKA NYENGINE?"
Mimi nashangaa mgombea anatenguliwa tena wakati ule ule wa kurejesha fomu kwa sababu tu hakupeleka picha wakati wangeweza kumwambia tu kapige picha ulete. Anatenguliwa mgombea kwa kuchelewa dakika 1 wakati wao wenyewe NEC na wawakilishi wao wanakuchelewesha siku 2 nzima kwa visingizio vya umeme na system au hata kufunga ofisi bila ya sababu. Jee ni busara mgombea kupita bila ya kupingwa kwa figisu figisu?
Aina hii ya watu Mzee Kaunda (KK) aliwaita stupid idiots. Viongozi wanao onyesha mifano mibaya. Marehemu hasemwi vibaya, lakini Filikunjombe 2015 alijaribu hii akapita lakini CDM walipoweka pingamizi wakamrudisha mpinzani wake. Alimfanyia mbaya kijana wa watu mpaka akahamishwa kituo kisa tu alikiri kupokea fomu za mpinzani ambazo watu wa Filikunjombe walikuja kuzinyofoa na kudai hakuna mwingine alirudisha fomu.Hata huyo anayepita bila kupingwa naye ajitafakari, utaingia bungeni bila kupigiwa kura? Alafu ushike nafasi kubwa bila kujishughulisha kutangaza chama chako kwa watu?
Tume inawatambua kama wabunge wa viti maalumu japo wana majimbo!Iwapo tume wanawatambua hawa "wabunge" wa kupita (kupitishwa) bila kupingwa, wanawatambua kwa sheria ipi, iwapo katiba iko wazi na hakuna inapowatambua?
Nadhani ni wakati wa wanaharakati/wenye mapenzi mema na nchi hii kulipeleka hili mahakamani likapate tafsiri ya kisheria; hili na lile wa mawaziri kuendelea na uwaziri hata baada ya bunge kuvunjwa wakati ubunge ni sifa ya kuteuliwa kuwa waziri.
Huyo Kunjombe alishinda ubunge?Aina hii ya watu Mzee Kaunda (KK) aliwaita stupid idiots. Viongozi wanao onyesha mifano mibaya. Marehemu hasemwi vibaya, lakini Filikunjombe 2015 alijaribu hii akapita lakini CDM walipoweka pingamizi wakamrudisha mpinzani wake. Alimfanyia mbaya kijana wa watu mpaka akahamishwa kituo kisa tu alikiri kupokea fomu za mpinzani ambazo watu wa Filikunjombe walikuja kuzinyofoa na kudai hakuna mwingine alirudisha fomu.
Any provision of the lawMoja kwa moja kwenye mada
Kupita bila kupingwa ni pale inapotokea mgombea mmoja tu amejitokeza na kuchukua fomu na kukidhi vigezo vyote huyo anapita bila kupingwa
Au endapo wagombea wengi wamechukua fomu na kukidhi vigezo lakini ndani ya muda uliowekwa kisheria wanaamua kujitoa ili kumpisha mwenzao mmoja agombee nao wakamuunga mkono basi huyo anapita bila kupingwa.
Endapo wagombea wengi wamejitokeza lakini kwa sababu mbalimbali msimamizi wa uchaguzi anawakata wengine wote na kumbakiza mgombea mmoja pekee basi huyo anakuwa AMEPITISHWA bila kupingwa.
Nadhani nimeeleweka.
Maendeleo hayana vyama!
Alifariki wakati anajiandaa kutetea kiti chake.Huyo Kunjombe alishinda ubunge?
Duh.......?siasa bhana!Alifariki wakati anajiandaa kutetea kiti chake.
Ni aibu sana kwa PM aliyeipeleka nchi kwenye uchumi wa kati kuongoza utekajiMoja kwa moja kwenye mada
Kupita bila kupingwa ni pale inapotokea mgombea mmoja tu amejitokeza na kuchukua fomu na kukidhi vigezo vyote huyo anapita bila kupingwa
Au endapo wagombea wengi wamechukua fomu na kukidhi vigezo lakini ndani ya muda uliowekwa kisheria wanaamua kujitoa ili kumpisha mwenzao mmoja agombee nao wakamuunga mkono basi huyo anapita bila kupingwa.
Endapo wagombea wengi wamejitokeza lakini kwa sababu mbalimbali msimamizi wa uchaguzi anawakata wengine wote na kumbakiza mgombea mmoja pekee basi huyo anakuwa AMEPITISHWA bila kupingwa.
Nadhani nimeeleweka.
Maendeleo hayana vyama!
Kinanasi kapitishwa?Ni aibu sana kwa PM aliyeipeleka nchi kwenye uchumi wa kati kuongoza utekaji
Salaam.
Labda mimi sielewi bado dhana ya wagombea kupita bila kupingwa. Mpaka sasa sijasikia mpinzani aliyepitishwa na tume bila kupingwa. Hii ndio kusema faults zinafanywa na upinzani tu ktk ujazaji wa form hadi kurudisha?
Naomba kueleweshwa.
Asante.
Kwenye demokrasia hakuna "bila kupingwa".Moja kwa moja kwenye mada
Kupita bila kupingwa ni pale inapotokea mgombea mmoja tu amejitokeza na kuchukua fomu na kukidhi vigezo vyote huyo anapita bila kupingwa
Au endapo wagombea wengi wamechukua fomu na kukidhi vigezo lakini ndani ya muda uliowekwa kisheria wanaamua kujitoa ili kumpisha mwenzao mmoja agombee nao wakamuunga mkono basi huyo anapita bila kupingwa.
Endapo wagombea wengi wamejitokeza lakini kwa sababu mbalimbali msimamizi wa uchaguzi anawakata wengine wote na kumbakiza mgombea mmoja pekee basi huyo anakuwa AMEPITISHWA bila kupingwa.
Nadhani nimeeleweka.
Maendeleo hayana vyama!
Moja kwa moja kwenye mada

Na kwa sababu hiyo je, bavicha wako barabarani wana kinukusha?
Salaam.
Labda mimi sielewi bado dhana ya wagombea kupita bila kupingwa. Mpaka sasa sijasikia mpinzani aliyepitishwa na tume bila kupingwa. Hii ndio kusema faults zinafanywa na upinzani tu ktk ujazaji wa form hadi kurudisha?
Naomba kueleweshwa.
Asante.
Hili la kupita/kupitishwa bila kupingwa liangaliwe vizuri. Linaweza kutengeneza mianya ya watu kufanya magumashi, kuminya haki za wengine ili tu;
1. Mtu asilazimike kuingia kwenye heka heka za kampeni
2. Mtu asipitie kihoro cha uwezekano wa kushindwa kwenye uchaguzi
3. Mtu aonekane kana kwamba anakubalika saaana!
Bahati mbaya pia ni kwamba sasa tunao watu wenye historia ya kupenda huu "utamu" wa kupita/kupitishwa bila kupingwa!
Hakuna atakayepita au kupitishwa bila kupingwa. Tunakomaa nao.
Halafu anakwambia eti ataunda serikali.