ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Niliandika mada humu majuzi lakini Mod wakaitowa na sijui hata kwa sababu gani niliuliza, "IKIWA MMOJA YA MGOMBEA ATAFARIKI KABLA YA SIKU YA KUPIGA KURA, UCHAGUZI UNAGHAIRISHWA. KWA NINI WANAOPORWA FOMU WASIPEWE NAFASI YA KUPELEKA NYENGINE?"
Mimi nashangaa mgombea anatenguliwa tena wakati ule ule wa kurejesha fomu kwa sababu tu hakupeleka picha wakati wangeweza kumwambia tu kapige picha ulete. Anatenguliwa mgombea kwa kuchelewa dakika 1 wakati wao wenyewe NEC na wawakilishi wao wanakuchelewesha siku 2 nzima kwa visingizio vya umeme na system au hata kufunga ofisi bila ya sababu. Jee ni busara mgombea kupita bila ya kupingwa kwa figisu figisu?