Ijue tofauti ya Kupita bila Kupingwa na Kupitishwa bila kupingwa kwenye Uchaguzi

Niliandika mada humu majuzi lakini Mod wakaitowa na sijui hata kwa sababu gani niliuliza, "IKIWA MMOJA YA MGOMBEA ATAFARIKI KABLA YA SIKU YA KUPIGA KURA, UCHAGUZI UNAGHAIRISHWA. KWA NINI WANAOPORWA FOMU WASIPEWE NAFASI YA KUPELEKA NYENGINE?"

Mimi nashangaa mgombea anatenguliwa tena wakati ule ule wa kurejesha fomu kwa sababu tu hakupeleka picha wakati wangeweza kumwambia tu kapige picha ulete. Anatenguliwa mgombea kwa kuchelewa dakika 1 wakati wao wenyewe NEC na wawakilishi wao wanakuchelewesha siku 2 nzima kwa visingizio vya umeme na system au hata kufunga ofisi bila ya sababu. Jee ni busara mgombea kupita bila ya kupingwa kwa figisu figisu?
 
Hata huyo anayepita bila kupingwa naye ajitafakari, utaingia bungeni bila kupigiwa kura? Alafu ushike nafasi kubwa bila kujishughulisha kutangaza chama chako kwa watu?
 
Iwapo tume wanawatambua hawa "wabunge" wa kupita (kupitishwa) bila kupingwa, wanawatambua kwa sheria ipi, iwapo katiba iko wazi na hakuna inapowatambua?
Nadhani ni wakati wa wanaharakati/wenye mapenzi mema na nchi hii kulipeleka hili mahakamani likapate tafsiri ya kisheria; hili na lile wa mawaziri kuendelea na uwaziri hata baada ya bunge kuvunjwa wakati ubunge ni sifa ya kuteuliwa kuwa waziri.
 
Mtu unaetegemea kuwa atakuwa mbele kuhakikisha tuna uchaguzi huru na wa haki na wananchi wanapewa nafasi ya kuchagua anakua ndio wa kwanza kushinikiza anapitishwa bila kupingwa. Huu ni ushenzi wa hali ya juu-yaani wanatupeleka enzi zile za mbwa kala mbwa. Nape anaita goli la mkono. We are stupid idiots (in the voice of Kenneth Kaunda).
 
Hata huyo anayepita bila kupingwa naye ajitafakari, utaingia bungeni bila kupigiwa kura? Alafu ushike nafasi kubwa bila kujishughulisha kutangaza chama chako kwa watu?
Aina hii ya watu Mzee Kaunda (KK) aliwaita stupid idiots. Viongozi wanao onyesha mifano mibaya. Marehemu hasemwi vibaya, lakini Filikunjombe 2015 alijaribu hii akapita lakini CDM walipoweka pingamizi wakamrudisha mpinzani wake. Alimfanyia mbaya kijana wa watu mpaka akahamishwa kituo kisa tu alikiri kupokea fomu za mpinzani ambazo watu wa Filikunjombe walikuja kuzinyofoa na kudai hakuna mwingine alirudisha fomu.
 
Iwapo tume wanawatambua hawa "wabunge" wa kupita (kupitishwa) bila kupingwa, wanawatambua kwa sheria ipi, iwapo katiba iko wazi na hakuna inapowatambua?
Nadhani ni wakati wa wanaharakati/wenye mapenzi mema na nchi hii kulipeleka hili mahakamani likapate tafsiri ya kisheria; hili na lile wa mawaziri kuendelea na uwaziri hata baada ya bunge kuvunjwa wakati ubunge ni sifa ya kuteuliwa kuwa waziri.
Tume inawatambua kama wabunge wa viti maalumu japo wana majimbo!
 
Aina hii ya watu Mzee Kaunda (KK) aliwaita stupid idiots. Viongozi wanao onyesha mifano mibaya. Marehemu hasemwi vibaya, lakini Filikunjombe 2015 alijaribu hii akapita lakini CDM walipoweka pingamizi wakamrudisha mpinzani wake. Alimfanyia mbaya kijana wa watu mpaka akahamishwa kituo kisa tu alikiri kupokea fomu za mpinzani ambazo watu wa Filikunjombe walikuja kuzinyofoa na kudai hakuna mwingine alirudisha fomu.
Huyo Kunjombe alishinda ubunge?
 
Moja kwa moja kwenye mada

Kupita bila kupingwa ni pale inapotokea mgombea mmoja tu amejitokeza na kuchukua fomu na kukidhi vigezo vyote huyo anapita bila kupingwa

Au endapo wagombea wengi wamechukua fomu na kukidhi vigezo lakini ndani ya muda uliowekwa kisheria wanaamua kujitoa ili kumpisha mwenzao mmoja agombee nao wakamuunga mkono basi huyo anapita bila kupingwa.

Endapo wagombea wengi wamejitokeza lakini kwa sababu mbalimbali msimamizi wa uchaguzi anawakata wengine wote na kumbakiza mgombea mmoja pekee basi huyo anakuwa AMEPITISHWA bila kupingwa.

Nadhani nimeeleweka.

Maendeleo hayana vyama!
Any provision of the law
 
Ni aibu sana kwa PM aliyeipeleka nchi kwenye uchumi wa kati kuongoza utekaji
 
Salaam.

Labda mimi sielewi bado dhana ya wagombea kupita bila kupingwa. Mpaka sasa sijasikia mpinzani aliyepitishwa na tume bila kupingwa. Hii ndio kusema faults zinafanywa na upinzani tu ktk ujazaji wa form hadi kurudisha?

Naomba kueleweshwa.

Asante.

Jibu ni ndiyo hakuna mpinzani yeyote aliyepitishwa na tume bila kupingwa. Na huenda wapinzani pekee ndiyo wanafanya makosa tu.

Au pia huenda sio upinzani tu hata CCM wapo.

Maoni binafsi.
CCM ni chama Dola. Wanafaida nyingi kuliko vyama vingine...huu ni uhalisia ambao wengi watauchukulia kihisia.

Pili uzoefu.

Binafsi naona hata kama atakuwepo mgombea wa CCM aliyekosea kujaza fomu . Ni wakurungenzi wangapi watakaowaibua? Ilihali Hao wakurugenzi ni makada wa chama.
 
Moja kwa moja kwenye mada

Kupita bila kupingwa ni pale inapotokea mgombea mmoja tu amejitokeza na kuchukua fomu na kukidhi vigezo vyote huyo anapita bila kupingwa

Au endapo wagombea wengi wamechukua fomu na kukidhi vigezo lakini ndani ya muda uliowekwa kisheria wanaamua kujitoa ili kumpisha mwenzao mmoja agombee nao wakamuunga mkono basi huyo anapita bila kupingwa.

Endapo wagombea wengi wamejitokeza lakini kwa sababu mbalimbali msimamizi wa uchaguzi anawakata wengine wote na kumbakiza mgombea mmoja pekee basi huyo anakuwa AMEPITISHWA bila kupingwa.

Nadhani nimeeleweka.

Maendeleo hayana vyama!
Kwenye demokrasia hakuna "bila kupingwa".

Ukishaona hiyo habari ya "bila kupingwa" ujue hapo kuna mtu kafanywa zoba.
 
Hizi siasa za Tanzania siku hizi zimekuwa kama siasa za Rwanda/Burundi au Afrika Magharibi tena miaka ya nyuma na ndio maana watu walipigana vita, msifikiri walipenda vita. Mtu anapitishwa bila kupingwa wakati kuna wagombea kwa mamia wenye sifa kemkem. Mazingira ya kupitishwa bila kupingwa yamewekwa kwa ajila ya watu fulani kupita tu bila kampeni na hii imeanza na m/kiti wa ccm, halafu ikafuata jimboni kwa waziri mkuu, spika na kwingineko kwa mawaziri kama akina Kabudi n.k. Huu ujinga tusiukubali watanzania.
Moja kwa moja kwenye mada

Kupita bila kupingwa ni pale inapotokea mgombea mmoja tu amejitokeza na kuchukua fomu na kukidhi vigezo vyote huyo anapita bila kupingwa

Au endapo wagombea wengi wamechukua fomu na kukidhi vigezo lakini ndani ya muda uliowekwa kisheria wanaamua kujitoa ili kumpisha mwenzao mmoja agombee nao wakamuunga mkono basi huyo anapita bila kupingwa.

Endapo wagombea wengi wamejitokeza lakini kwa sababu mbalimbali msimamizi wa uchaguzi anawakata wengine wote na kumbakiza mgombea mmoja pekee basi huyo anakuwa AMEPITISHWA bila kupingwa.

Nadhani nimeeleweka.

Maendeleo hayana vyama!
Na kwa sababu hiyo je, bavicha wako barabarani wana kinukusha?
Salaam.

Labda mimi sielewi bado dhana ya wagombea kupita bila kupingwa. Mpaka sasa sijasikia mpinzani aliyepitishwa na tume bila kupingwa. Hii ndio kusema faults zinafanywa na upinzani tu ktk ujazaji wa form hadi kurudisha?

Naomba kueleweshwa.

Asante.
Hili la kupita/kupitishwa bila kupingwa liangaliwe vizuri. Linaweza kutengeneza mianya ya watu kufanya magumashi, kuminya haki za wengine ili tu;

1. Mtu asilazimike kuingia kwenye heka heka za kampeni
2. Mtu asipitie kihoro cha uwezekano wa kushindwa kwenye uchaguzi
3. Mtu aonekane kana kwamba anakubalika saaana!

Bahati mbaya pia ni kwamba sasa tunao watu wenye historia ya kupenda huu "utamu" wa kupita/kupitishwa bila kupingwa!
Hakuna atakayepita au kupitishwa bila kupingwa. Tunakomaa nao.
 
Nchi inaelekea kubaya hii miaka ya nyuma haya mambo hayakuwepo ila mange alituonya hatukusikia
 
Back
Top Bottom