Ijue tofauti ya Member na Senior Member ndani ya JF

Huo u Senior member walikupaje? Umeshindwa kabisaa kutumia ufahamu wako hata kidogo?
 
Ni shilingi ngapi kuwa platinum member
 
sidhani muda mrefu ina matter maana nina thread 6 na nina 10 day lakini nimeishalamba usenior. probably ni quality na content/contribution
 
Sasa ndio utumie CHAT GPT?๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Haisaidii kitu,mbwembwe tu.Tumekuwepo kabla ya Jamii forum ikiitwa jambo forums,enzi zile issa michuzi anaanzisha blogspot,mange akiwa na U-turn...
sisi Wacha tubaki huku huku tushazoea.kipindi hicho ukikutana na mexence Mello na mashati yake makubwa na suruali za celebration,begi kubwa la laptop begani(akili kubwa ila hawezi kununua samaki Brenda fassie pale break point)anakupa hamasa ya kujiunga na jF.Tumesimama nao kwenye misukosuko hata kipindi kile cha kesi.Kwenye Maombi unaiweka na JF na boss wake aachiwe huru.Asilimia kubwa ya walevi wengi wa Dar wameijua JF kupitia mimi,kipindi Cha ujana Kuanzia Rose garden,Hongera bar,Mwika,Chaga bite, Jackie's,Didiz,Bar-o-One kwa kinje,slipway,Maryland,kifumbu bar,sunguchini ,migombani survey na cafe latino
Kuna kipindi niliwahi kuandika neno"Jamii forums.com" ndani ya choo Cha wanaume pale Jackie's bar masaki lengo kuipromote.
Kungekuwa na kuwekwa kwenye u senior member bila kuangalia pesa ningekuwa huko kwa mchango wangu.Leo hii Kuna vitoto vimeajiriwa JF vinatupiga ban bila adabu..Wazee watarajiwa kila mahala Huwa wanasahaulika na kudharaulika..
 
Mkuu ID yako ya kitambo bado unayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ