Nakuona mbosso kutoka WCBWatu tupo hapa toka 2008, JF inaitwa JamboForums. 😁
Nakuona mbosso kutoka WCBWatu tupo hapa toka 2008, JF inaitwa JamboForums. 😁
😂😂😂😂Hawa ni members wanaotokea lebo ya Wasafi.
Na hiyo blue tick yako Inapatikanaje?Sio kweli
Mtitiriko upo hivi
New member
Member
Senior
Expert
Ili ufikie kuwa Expert inatokana na kuchagia kukoment kuamzisha thread n.k
Na kuwa Plutnm unaichangia JF kwakuwa JF ni NGO ambayo imejikita kuisadia jamii .
No answer about blue tick!!!!Na hiyo blue tick yako Inapatikanaje?
ChaiJF expert member" ni jina linalotumiwa ndani ya jukwaa la majadiliano la mtandaoni la JamiiForums (JF). Hii ndiyo maana yake:
* Jina ndani ya JamiiForums:
* "JF-Expert Member" ni hadhi au jina maalum ambalo watumiaji wengine kwenye JamiiForums wanalo.
* Inaonekana kuonyesha kiwango cha kutambuliwa au msimamo ndani ya jumuiya.
* Viashiria vya Utambuzi:
* Uwepo wa "JF-Expert Member" kando ya wasifu wa mtumiaji unaonyesha kuwa watu hawa wamepata kiwango fulani cha uaminifu au heshima ndani ya jukwaa.
* Inaonekana kuwa hadhi hii huambatana na watumiaji wenye alama za juu za kupendwa, na idadi kubwa ya machapisho.
* Muktadha wa JamiiForums:
* JamiiForums ni jukwaa maarufu la majadiliano mtandaoni nchini Tanzania, linaloshughulikia mada mbalimbali. Kwa hivyo, "JF expert member" huenda ikamaanisha utaalamu au michango muhimu ndani ya muktadha wa majadiliano haya.
Kwa kifupi, "JF expert member" inawaonyesha watumiaji wanaotambuliwa kwa ushiriki wao muhimu na ujuzi ndani ya jumuiya ya JamiiForums.
Haulali mkuu,au unapata daku?Chai
nadhani expert zaidi ni muda ulio jiunga JF na uwepo wako active kuliko kuanzisha nyuzi.Sio kweli
Mtitiriko upo hivi
New member
Member
Senior
Expert
Ili ufikie kuwa Expert inatokana na kuchagia kukoment kuamzisha thread n.k
Na kuwa Plutnm unaichangia JF kwakuwa JF ni NGO ambayo imejikita kuisadia jamii .
Mimi silalagi nipo macho na jf full timeHaulali mkuu,au unapata daku?
Na wale wenye tiki ya blue ????
nadhani expert zaidi ni muda ulio jiunga JF na uwepo wako active kuliko kuanzisha nyuzi.
Nilijiunga kenya talk japo sichangii wala sipo sana kule nimewekwa kwenye daraja ya juu ya (mzee) hivyo nadhani na jf wanaangalia umri zaidi kwani kuna mtu kafikia daraja ya juu kwa muda mfupi kutokana na michango yake hapa jf ndani ya mwaka mmoja akawa expert member ?Kupanda madaraja haya ni kutokana na # ya posts unazo rusha.
Kuwa 'Platnum member 'hiyo juu ya wamiliki ufike huko, kabla ilikuwa inalipiwa ninavyo Kumbuka sijui sasa hivi.
Eeeh kuilipia tena!!, yaani ni kama plate no za magari ambapo mtu anaweka jina lake badala ya namba,na hivyo kulipia kama nisikiavyo??auKupanda madaraja haya ni kutokana na # ya posts unazo rusha.
Kuwa 'Platnum member 'hiyo juu ya wamiliki ufike huko, kabla ilikuwa inalipiwa ninavyo Kumbuka sijui sasa hivi.
Kuwa expert unaweza kutumia hata wiki moja tangu umefungua I'd yako inatokana na vile unachangia Mara kwa Mara.Nilijiunga kenya talk japo sichangii wala sipo sana kule nimewekwa kwenye daraja ya juu ya (mzee) hivyo nadhani na jf wanaangalia umri zaidi kwani kuna mtu kafikia daraja ya juu kwa muda mfupi kutokana na michango yake hapa jf ndani ya mwaka mmoja akawa expert member ?
Shukran kwa elimuSio kweli
Mtitiriko upo hivi
New member
Member
Senior
Expert
Ili ufikie kuwa Expert inatokana na kuchagia kukoment kuamzisha thread n.k
Na kuwa Plutnm unaichangia JF kwakuwa JF ni NGO ambayo imejikita kuisadia jamii .
🙄🙄🙄🙄🙄 ccmKuwa expert unaweza kutumia hata wiki moja tangu umefungua I'd yako inatokana na vile unachangia Mara kwa Mara.
Ni kweliii haya Mshana Jr"JF member" na "senior member" ni maneno yanayotumika sana katika muktadha wa majadiliano ya mtandaoni, haswa kwenye jukwaa la JamiiForums (JF). Hapa kuna tofauti kuu kati ya hizo mbili:
* JF Member:
* Hii ni neno la jumla linalorejelea mtu yeyote aliyesajiliwa na anayeshiriki kwenye JamiiForums.
* Ni hadhi ya kawaida kwa kila mwanachama anayejiunga na jukwaa.
* Senior Member:
* Hii ni hadhi ya juu zaidi inayotolewa kwa wanachama ambao wamekuwa wakishiriki kikamilifu na kwa muda mrefu kwenye JamiiForums.
* Mara nyingi, hadhi hii huonyesha uzoefu, uaminifu, na mchango mkubwa wa mwanachama kwenye jukwaa.
* Mara nyingi hadhi hii huja na heshima zaidi kutoka kwa wanajamii wengine.
Kwa kifupi, "JF member" ni mwanachama wa kawaida, wakati "senior member" ni mwanachama mwenye uzoefu na mchango mkubwa zaidi kwenye jukwaa.