Ijue tofauti ya Member na Senior Member ndani ya JF

Sio kweli

Mtitiriko upo hivi

New member
Member
Senior
Expert

Ili ufikie kuwa Expert inatokana na kuchagia kukoment kuamzisha thread n.k

Na kuwa Plutnm unaichangia JF kwakuwa JF ni NGO ambayo imejikita kuisadia jamii .
Na hiyo blue tick yako Inapatikanaje?
 
Chai
 
Kupanda madaraja haya ni kutokana na # ya posts unazo rusha.

Kuwa 'Platnum member 'hiyo juu ya wamiliki ufike huko, kabla ilikuwa inalipiwa ninavyo Kumbuka sijui sasa hivi.
Nilijiunga kenya talk japo sichangii wala sipo sana kule nimewekwa kwenye daraja ya juu ya (mzee) hivyo nadhani na jf wanaangalia umri zaidi kwani kuna mtu kafikia daraja ya juu kwa muda mfupi kutokana na michango yake hapa jf ndani ya mwaka mmoja akawa expert member ?
 
Kuwa expert unaweza kutumia hata wiki moja tangu umefungua I'd yako inatokana na vile unachangia Mara kwa Mara.
 
Ni kweliii haya Mshana Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…