Ijue tofauti ya Member na Senior Member ndani ya JF

Wamekuwa verified, wametumia info zao na wanatambulika na JF ni akina nani.

Unaomba uweke we na kufata masharti ya kupata hiyo tiki.

Unatumia kiji username umetaka au unaandika jin alako la ukweli.

Uamuzi binafsi wa member kutaka hiyo tiki.
Na vp inalipiwa au??
 
Hakuna kitu unalipia maana JF hawafanyi Biashara unaomba tu kwa kufata vigezo ukikidhi unapewa

Ila ukiwa plutnumz member huwa unaichangia JF nb kuchangia na kulipia ni tofauti.

Nb JF ni NGO -ni taasisi ambayo haifanyi Biashara Ila inaisaidia Jamii.
Hela za uendeshaji zinatoka wapi maana wanatakiwa kulipa Kodi nk
 

Kila mwenye forums na yake aliyopamga kuweka

Si try.. Open moja ingine same day weka mengi uone inakuwaje..

Ila ndio hivyo humu platinumz yaja Ikija sio by kuweka posts

Yeah b4 hata upo a day ungepata platinumz.. Sijui sasa(uliza). Ule ulikuwa mwanzo Kukuza forum hii yao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…