Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli elimu haina mwisho sikuijua hiiKulingana na maneno ya mwenyezi Mungu mtu Akifa na akazikwa siku ya ijumaa hatapata adhabu ya Kaburi so kuna Raha yake mtu kuzikwa siku hiyo kulingana na Imani inavyosema
Ni vizuri ungeweka hayo maneno ya Mwenyezi Mungu tujiridhishe..Kulingana na maneno ya mwenyezi Mungu mtu Akifa na akazikwa siku ya ijumaa hatapata adhabu ya Kaburi so kuna Raha yake mtu kuzikwa siku hiyo kulingana na Imani inavyosema
Wajinga niwengi pamoja na huyo aliesema mambo ya dhawabu siku ya ijuma
Wanasema elimu ni kama bahariKuna upande wa pili huamini kinyume chake.
Leo ni Ijumaa 13.
Inafaa kuiita BLACK FRIDAY! Ati huongoza kwa mikosi. Leo mtu akifanya dili ni muhali kufanikiwa
tuamini lipi?
Inaonyesha hata elimu ya dini huna kabisa. Mzee mbona unaishi kizembe sana au kazi yako kutukana tu huna cha kufanyaKufa leo Mkuu tukuzike saa tisa alasiri,ili dhambi zako zote za usinzi,ubakaji,udangaji,wizi,unafiki,umbea,usaliti na ulawiti zisamehewe na uende moja kwa moja peponi
Hiyo Dini gani inasema hivyo mkuu,kwahiyo hata kama huyu mtu kafa bila ya kutubu hatapata hiyo adhabu au mimi ndio sielewi...?Kulingana na maneno ya mwenyezi Mungu mtu Akifa na akazikwa siku ya ijumaa hatapata adhabu ya Kaburi so kuna Raha yake mtu kuzikwa siku hiyo kulingana na Imani inavyosema
Nilivyoona tu neno "ahela"Ni kweli elimu haina mwisho maana baada ya kufa kuna elimu tena ya ahela
Zakuambiwa changanya na zako.Kulingana na maneno ya mwenyezi Mungu mtu Akifa na akazikwa siku ya ijumaa hatapata adhabu ya Kaburi so kuna Raha yake mtu kuzikwa siku hiyo kulingana na Imani inavyosema
Hakuna cha maana unachojua elimu ya Dini haina msaada kwako zaidi ya utumwaInaonyesha hata elimu ya dini huna kabisa. Mzee mbona unaishi kizembe sana au kazi yako kutukana tu huna cha kufanya
Jifunze kutafuta maarifa
Mwenyezi Mungu yupi alisema ukifa ijumaa unaenda peponi?Kulingana na maneno ya mwenyezi Mungu mtu Akifa na akazikwa siku ya ijumaa hatapata adhabu ya Kaburi so kuna Raha yake mtu kuzikwa siku hiyo kulingana na Imani inavyosema