Ijuma-ni siku nyeupe

Ijuma-ni siku nyeupe

Kulingana na maneno ya mwenyezi Mungu mtu Akifa na akazikwa siku ya ijumaa hatapata adhabu ya Kaburi so kuna Raha yake mtu kuzikwa siku hiyo kulingana na Imani inavyosema
Kweli elimu haina mwisho sikuijua hii
 
Kulingana na maneno ya mwenyezi Mungu mtu Akifa na akazikwa siku ya ijumaa hatapata adhabu ya Kaburi so kuna Raha yake mtu kuzikwa siku hiyo kulingana na Imani inavyosema
Ni vizuri ungeweka hayo maneno ya Mwenyezi Mungu tujiridhishe..
 
Kuna upande wa pili huamini kinyume chake.

Leo ni Ijumaa 13.

Inafaa kuiita BLACK FRIDAY! Ati huongoza kwa mikosi. Leo mtu akifanya dili ni muhali kufanikiwa

tuamini lipi?
 
Kufa leo Mkuu tukuzike saa tisa alasiri,ili dhambi zako zote za usinzi,ubakaji,udangaji,wizi,unafiki,umbea,usaliti na ulawiti zisamehewe na uende moja kwa moja peponi
 
Wajinga niwengi pamoja na huyo aliesema mambo ya dhawabu siku ya ijuma

Kuna upande wa pili huamini kinyume chake.

Leo ni Ijumaa 13.

Inafaa kuiita BLACK FRIDAY! Ati huongoza kwa mikosi. Leo mtu akifanya dili ni muhali kufanikiwa

tuamini lipi?
Wanasema elimu ni kama bahari
Tumia akili yako kufikiri then fanya utafiti kidogo kwa kutumia akili then chagua cha kuamini
 
Kufa leo Mkuu tukuzike saa tisa alasiri,ili dhambi zako zote za usinzi,ubakaji,udangaji,wizi,unafiki,umbea,usaliti na ulawiti zisamehewe na uende moja kwa moja peponi
Inaonyesha hata elimu ya dini huna kabisa. Mzee mbona unaishi kizembe sana au kazi yako kutukana tu huna cha kufanya

Jifunze kutafuta maarifa
 
Kulingana na maneno ya mwenyezi Mungu mtu Akifa na akazikwa siku ya ijumaa hatapata adhabu ya Kaburi so kuna Raha yake mtu kuzikwa siku hiyo kulingana na Imani inavyosema
Hiyo Dini gani inasema hivyo mkuu,kwahiyo hata kama huyu mtu kafa bila ya kutubu hatapata hiyo adhabu au mimi ndio sielewi...?
 
Kulingana na maneno ya mwenyezi Mungu mtu Akifa na akazikwa siku ya ijumaa hatapata adhabu ya Kaburi so kuna Raha yake mtu kuzikwa siku hiyo kulingana na Imani inavyosema
Zakuambiwa changanya na zako.
 
Inaonyesha hata elimu ya dini huna kabisa. Mzee mbona unaishi kizembe sana au kazi yako kutukana tu huna cha kufanya

Jifunze kutafuta maarifa
Hakuna cha maana unachojua elimu ya Dini haina msaada kwako zaidi ya utumwa
 
Kulingana na maneno ya mwenyezi Mungu mtu Akifa na akazikwa siku ya ijumaa hatapata adhabu ya Kaburi so kuna Raha yake mtu kuzikwa siku hiyo kulingana na Imani inavyosema
Mwenyezi Mungu yupi alisema ukifa ijumaa unaenda peponi?
 
Back
Top Bottom