mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
- Thread starter
- #21
Asante sana. Mtume Mohammad SAW alikuwa muungwana sana kwenye hili.AHSANTE SANA MTUMISHI ATAKAYEKUPINGA NI LING'OMBE TU (in Tundu Lissu Voice).
QURAN : AL - BAQARA.
65. Na hakika mlikwisha yajua ya wale miongoni mwenu walio ivunja Sabato, (siku ya mapumziko, Jumaa Mosi) na tukawaambia: Kuweni manyani wadhalilifu.
66. Kwa hivyo tukayafanya hayo kuwa onyo kwa wale walio kuwa katika zama zao na walio kuja baada yao, na mawaidha kwa wachamngu.
Wafuasi tu ndio wanahitaji neema ya kuwa wepesi kuelewa Sabato ya Bwana Mungu wao.