mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
- Thread starter
-
- #21
Asante sana. Mtume Mohammad SAW alikuwa muungwana sana kwenye hili.AHSANTE SANA MTUMISHI ATAKAYEKUPINGA NI LING'OMBE TU (in Tundu Lissu Voice).
QURAN : AL - BAQARA.
65. Na hakika mlikwisha yajua ya wale miongoni mwenu walio ivunja Sabato, (siku ya mapumziko, Jumaa Mosi) na tukawaambia: Kuweni manyani wadhalilifu.
66. Kwa hivyo tukayafanya hayo kuwa onyo kwa wale walio kuwa katika zama zao na walio kuja baada yao, na mawaidha kwa wachamngu.
SASA WEWE NA WANAFUNZI WA YESU MWENYE AKILI NANI? WAO JUMAMOSI WANALIKUWA WANAPUMZIKA.Lkn Jumapili Alfajiri ndipo Yesu alifufuka ndio siku ya Ushindi, Hivyo lazima tumwabudu MUNGU siku hiyo Jumapili na sio jumamosi.
Nipo mkuu, mzee we Copenhagen.Mkuu Danny Faure hupo? Ni kitambo sana Jamvini. Kuna wakati niliuliza h7mu umepotea wapi? Good to read from you.
Barikiwa.Wasabato ni shida
Yesu alikufa Siku ya kwanza ya Juma.
Leo Ijumaa ndicho kile kinachoitwa Siku ya kwanza ya Juma.
Jumapili ni Siku ya kwanza ya Juma. Na Sabato kesho ni Jumamosi.
Mungu akubariki kwa kucomment.Wasabato walishalogwa kitambo...
Nimeandika nilichokielewa.Mlamu, umeelewa ulichoandika hapo?
Usinge kuja kutoa povu kwenye huu uzi..ningejua huu uzi batili.Wasabato walishalogwa kitambo...
Huyu ni mwanafunzi wangu wa kiroho. Nilimpa tu likizo ya miaka kama mitatu hivi.Usinge kuja kutoa povu kwenye huu uzi..ningejua huu uzi batili.
#MaendeleoHayanaChama
Shida iko wapi..au kusema ukweli wa maandiko ndio shida?kama vile umeamua kuwa na denial mode..mana ukweli unajua ila huwezi kuufuata hivyo unaamua kuukana makusudi.Wasabato ni shida
Shida iko wapi..au kusema ukweli wa maandiko ndio shida?kama vile umeamua kuwa na denial mode..mana ukweli unajua ila huwezi kuufuata hivyo unaamua kuukana makusudi.
#MaendeleoHayanaChama
Nimeandika nilichokielewa.
1. MMEJENGWA JUU YA MSINGI WA MITUME NA MANABII NA YESU KRISTO MWENYEWE NDIYE JIWE KUU LA PEMBENIUnatunza Sabato we muebrania??
Ndiyo mi myahudi mkuuUnatunza Sabato we muebrania??
Kama Ww Ni mkristo kuifuata Sabato ni Makosa. Maana Bwana Aliipinga
Barikiwa sana.Rudi kasome tena, kama huna nia tata utahariri…. umeandika Yesu alikufa Ijumaa siku ya kwanza ya juma kisha ukaandika tena alikufa Jumapili.
Umeandika mapokeo mtumishi.Kama Ww Ni mkristo kuifuata Sabato ni Makosa. Maana Bwana Aliipinga