Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,203
- 5,997
Turudi kwenye mada kama unataarifa ya kutupa.Mleta mada lazima utakua mtu wa musoma
Sawa msabato, sisi tunamfuata Bwana wa sabato wewe fuata siku ya Jumamosi.Yesu alikufa Siku ya kwanza ya Juma.
Leo Ijumaa ndicho kile kinachoitwa Siku Maandalio ya Juma au Siku ya sita.
Jumapili ni Siku ya kwanza ya Juma. Na Sabato kesho ni Jumamosi.
Mambo ya kutafakari.
1: Ni dharau na ukosefu wa adabu kwa Mungu mfalme kuiita Jumapili au ijumaa Sabato. Ni kuhariri sentensi za Mungu.
2: Inatukumbusha Dunia iliumbwa Siku sita za wiki. Hii ya Saba ya Sabato ilikuwa in ofa kwa mwanadamu. Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu. Isingekuwa Sabato wiki ingebaki na Siku sita tu.
3: SABATO imetajwa Mara ya kwanza katika maandiko kabla ya dhambi. Hivyo wazo LA Sabato Galina uhusiano na vivuli vya maagizo ya jangwani.
4: Yesu sio Sabato, wala Sabato sio Yesu. Yesu ni mmiliki au Bwana wa hiyo Sabato. Sabato sio Siku ya wayahudi ni ya Yesu na wanaomfuata.
5: Kukusanyika kwa ibada baada ya Siku sita za kazi kwa Siku isiyo Sabato ya Jumamosi ni kumkosoa na kumdharau Mungu na maagizo yake.
6: Sabato sio kwa ajili ya wakristo. Ni mwanadamu wote. Kama ni mwanadamu na ulikuwa hujui hujachelewa. Nakukumbusha. Ikumbuke Siku ya Sabato.
7: Mungu hakuumba weekend. Alitutengenezea Siku sita za kazi na ya saba ya sabato sio Siku mbili zinazoitwa weekend. Hii taarifa ni muhimu kwako.
Niwatakie ijumaa njema.
Maelekezo ya Mungu hayataki mjadala mrefu yanataka utekelezaji. Huwezi kuhoji kauli za mfalme asiyekosea.
Kila mkristo ni myahudi na mzao wa Ibrahim kwa imani ya Yesu.Ndiyo mi myahudi mkuu
Mimi sio Msabato. Mimi ni mtoto was Mfalme. Raia was ufalme wa mbinguni ninayeishi hapa duniani kwa Muda tu.Sawa msabato, sisi tunamfuata Bwana wa sabato wewe fuata siku ya Jumamosi.
Simple tuu.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Hii ni taarifa tu.Acha hizo msabato
AMRI YA NNE.Sawa msabato, sisi tunamfuata Bwana wa sabato wewe fuata siku ya Jumamosi.
Simple tuu.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Mwafanya vyema.Tunasali jumapili kusheherekea ufufuko wa bwana wetu Yesu Kristo
>Kwa hiyo WEWE ni mwerevu zaidi ya MITUME si ndiyo?.Tunasali jumapili kusheherekea ufufuko wa bwana wetu Yesu Kristo
Kwamba PAULO NA MITUME wengine hawakujua kuwa YESU kafufuka wakaendelea na ibada ya kila SABATO?
Hiyo ruhusa ya kusali JUMAPILI kwenye maandiko matakatifu inapatikana wapi ili na mimi nianze kusali?
Ndugu Mitale, wakristo walio wengi wanaabudu Siku ya Kwanza a.k.a Jumapili kwa sababu hizi (baadhi).Yesu alikufa Siku ya kwanza ya Juma.
Leo Ijumaa ndicho kile kinachoitwa Siku Maandalio ya Juma au Siku ya sita.
Jumapili ni Siku ya kwanza ya Juma. Na Sabato kesho ni Jumamosi.
Mambo ya kutafakari.
1: Ni dharau na ukosefu wa adabu kwa Mungu mfalme kuiita Jumapili au ijumaa Sabato. Ni kuhariri sentensi za Mungu.
2: Inatukumbusha Dunia iliumbwa Siku sita za wiki. Hii ya Saba ya Sabato ilikuwa in ofa kwa mwanadamu. Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu. Isingekuwa Sabato wiki ingebaki na Siku sita tu.
3: SABATO imetajwa Mara ya kwanza katika maandiko kabla ya dhambi. Hivyo wazo LA Sabato Galina uhusiano na vivuli vya maagizo ya jangwani.
4: Yesu sio Sabato, wala Sabato sio Yesu. Yesu ni mmiliki au Bwana wa hiyo Sabato. Sabato sio Siku ya wayahudi ni ya Yesu na wanaomfuata.
5: Kukusanyika kwa ibada baada ya Siku sita za kazi kwa Siku isiyo Sabato ya Jumamosi ni kumkosoa na kumdharau Mungu na maagizo yake.
6: Sabato sio kwa ajili ya wakristo. Ni mwanadamu wote. Kama ni mwanadamu na ulikuwa hujui hujachelewa. Nakukumbusha. Ikumbuke Siku ya Sabato.
7: Mungu hakuumba weekend. Alitutengenezea Siku sita za kazi na ya saba ya sabato sio Siku mbili zinazoitwa weekend. Hii taarifa ni muhimu kwako.
Niwatakie ijumaa njema.
Maelekezo ya Mungu hayataki mjadala mrefu yanataka utekelezaji. Huwezi kuhoji kauli za mfalme asiyekosea.
Sasa mzee hapo si walikuwa hawajui km Yesu atafufuka!!!,Lkn baada ya kujua kuwa Yesu alifufuka siku ya Jumapili,Mitume walianza kukutanika kwaajili ya Ibada siku ya Jumapili km ilivyo Leo rejea 1Kor.16:1-2.SASA WEWE NA WANAFUNZI WA YESU MWENYE AKILI NANI? WAO JUMAMOSI WANALIKUWA WANAPUMZIKA.
JUMAPILI SHAMBANI KUPIGA JEMBE,TENA SIKU YA UFUFUO KABISAA.
ENDELEENI KUINGIZANA CHAKA.
MARKO 16 :12
9Yesu alipofufuka mapema Jumapili, alijionesha kwanza kwa Maria Magdalene, ambaye Yesu alikuwa amemtoa pepo wabaya saba. 10Maria Magdalene akaenda, akawajulisha wale waliokuwa pamoja na Yesu, na wakati huo walikuwa wanaomboleza na kulia. 11Lakini waliposikia ya kwamba Yesu yu hai na kwamba Maria Magdalene amemwona, hawakuamini.
Yesu anawatokea wanafunzi wawili
(Luka 24:13-35)
12Baadaye Yesu aliwatokea wanafunzi wawili akiwa na sura nyingine. Wanafunzi hao walikuwa wanakwenda shambani.
Wewe Hujui tu, Hapo walikuwa hawajui km atafufuka.Hata hivyo kwenda shambani sio hoja kwasababu Biblia haijasema km walikuwa wanaenda shambani kufanya nini? km walikwenda kutembea tu je??.Kwa Mujibu was maandiko.
Jumapili ni Siku ya wanafunzi was Yesu kwenda shambani sio kanisani.
Luka 24:13-
...Walikuwa wanakwenda shambani.
Mapokeo yananguvu ingawa yatashindwa na ukweli.
Kabisaaa,Jamaa wamedanganywa sana.Wachana na huyo balaa ameshalewa kande na mvinyo wa kahaba Ellen G White