Ikifika 2030 hali haitakuwa nzuri kwa baadhi ya wanawake

Tatizo ni kwamba mwanamke hawezi kuishi bila mwanaume, jinsi alivyoumbwa kaumbwa kuongozwa na kutawaliwa, sasa kwa point ya mleta mada mwanamke ndio ataumia zaidi.
 
In general, mwanamke analilia ndoa kutuliza nafsi yake, to calm her emotional anxiety, yakiwemo hayo ya security, validation etc na ndio maana tunasema mwanamke hawezi kuishi bila mwanaume, and that's by design, sio kwamba ni financial issues tu, tupunguze ujuha jamani, shida kubwa hamuolewi sababu ya Big Egos km hizi, ujuaji mwingi mno.
 
Kusema kila mwanamke anaye MTU anataka kumuoa sio kweli.

1. Sisi vijana kwasasa hatuwahi kuoa kwasababu ya ugumu wa maisha. Najua wengi watapinga lakini huu ndio uhalisia maisha ya vijana wengi kipato Chao Ni chini ya 20k hivyo ningumu kuendesha familia , vijana hawana Nyumba , imagine kijana amemaliza chuo At 23 ys mpaka ajipange aoe nilini? Na katika kizazi Cha mademu aliokua nao hataweza kuoa Tena katika kizazi hicho hivyo hata yule anayemwambia atamuo itakuwa niuongo tu 😅
 
Tatizo ni kwamba mwanamke hawezi kuishi bila mwanaume, jinsi alivyoumbwa kaumbwa kuongozwa na kutawaliwa, sasa kwa point ya mleta mada mwanamke ndio ataumia zaidi.
Kwasasa wanatakiwa kubadilika , ukweli mchungu nikuwa sio kila mwanamke ataolewa , au atadumu kwenye hiyo ndoa kwa muda mrefu.
 
Sawasawa.
 
Haya ya ushoga yanachangiwa na baba kuwa dhaifu hivyo mtoto kupata malezi ya mama pekee bila baba, udhaifu wa baba unaonekana pale either baba kukimbia nyumba sababu kamshindwa mwanamke au baba yupo ndani ila anatawaliwa na mama. Lawama zinatakiwa kwenda kwa baba lakini inakupa picha mwanamke akiachiwa usukani jamii inakuwa na hali gani, kila kitu kinaharibika, na ndio maana naamini mwanamke kususia ndoa ni kujipoteza mwenyewe, kama mwanamke hakubahatika kuolewa sio tatizo ila isimfanye awe negative kuhusu ndoa, get in line.
 
Umefanya utafiti kuhusu sababu za ushoga mkuu? Au umekisia
 
2019 ndoa ilikuwa na miaka 20 hadi sasa. Ndoa kama haikuvunjika ina Miaka 25.
Kama aliolewa na miaka 20 so now Jadda ana miaka takriban 45 aisee SASA MBONA BIBI ANAANDIKAGA UJINGA?
Sindiyo hapo mkuu
Mimi namchora tu anavyopotosha watu sasa hivi Kuna ID alikuwa anatumia Zamani something adelyn hiv akaanzisha Uzi flani hivi kwa itikadi zake za feminists na hiyo ilikuwa 2019
Bàdae wakaja kuunganisha ID yake ya zamani na hii mpya
Jina la Uzi limenitoka
 
Tafiti za nini sasa? sababu kubwa ni mtoto kuwa na confusion kuhusu jinsia yake na hii inatokana na mtoto kukosa strong father figure
Anaempindua na ku break manhood ya huyo mtoto ni mwanamke au mwanaume?!

Eti strong father figure! Asilimia kubwa ya wavulana (wanaojiita wanaume) wa sasa ni sperm donors tu na irresponsible dead bits.

Men, African Men, go back to your roots!

Women ain’t your enemies, the real enemy is in your head and your zipper.
 
Mwanamme hazeeki , wakati wewe ukifika age ya 40 huna soko mwanamme age ya 40 ana soko kila kona maana uchumi wake mara nyingi huwa stable sasa kama unafuata uchumi kwenye ndoa maana yake mwanamme ana uhakika wa kuoa kuliko wa wewe kuolewa na kwa kuwa mpo kwa ajili ya uchumi maana yake ni kwamba mtatumika sana hadi mpoteze mvuto kabisa.
Mwombeni Mungu sana mambo ni magumu upande wenu zaidi sisi ukizingua tunadump tu wanaotutaka ni wengi na wengi wao wanataka ndoa wakati ninyi wanaowatafuta wengi ni kupita tu wanaishia.
 
Mwanaume anayemuingilia mwenzake huyo si muumini wa uanaume, anashusha hadhi ya kiume, ni mjinga kama mjinga anayeingiliwa. Wote wamekosa strong fathers ndio maana wana gender confusion, silaumu mwanamke kwa matatizo ya wanaume ila nawaona ni wajinga pale wanapoamua kuwa liberals eti sababu wanaweza kutengeneza kipato binafsi, kwa maana mwanamke kuwa an independent body inachangia kwa kiasi kikubwa for male emasculation.
 
Mwanaume anayemuingilia mwenzake huyo si muumini wa uanaume, anashusha hadhi ya kiume, ni mjinga kama mjinga anayeingiliwa.
Kama anayeingiliwa ni mtoto huo ujinga bado nae unamuhusu?

Na unawezaje kurahisisha tendo la kumvunja mtu Utu wake na hatimaye kumbadili jinsia eti ni Ujinga?!

Unalifanya lionekane jambo dogo kwa sababu muhusika ni mwanaume au sio?

Wote wamekosa strong fathers ndio maana wana gender confusion,
Mwanaume anamlawiti mtoto wa kiume huwezi kusema ana gender confusion, this is pure hypocrisy!

silaumu mwanamke kwa matatizo ya wanaume ila nawaona ni wajinga pale wanapoamua kuwa liberals eti sababu wanaweza kutengeneza kipato binafsi,
Ndicho umesema kwenye statement niliyo ku quote. Kwamba matatizo yote ikiwemo la ushoga chanzo kikuu ni mwanamke.

Ujinga wao ni kukataa kubaki hata katika situations wanazoona hawafai kuendelea kuwepo?

Kwani maisha yao sio maamuzi yao?

Suala la mwanamke kuweza kutengeneza kipato chake mwenyewe na kisiingiliwe na mtu ni zaidi ya ushindi kwa mwanamke, ask your Women relatives waliokuwepo at least miaka 20 tu iliyopita hali ilikuwaje kwa mwanamke kuhusu suala la mapato na matumizi?!

kwa maana mwanamke kuwa an independent body inachangia kwa kiasi kikubwa for male emasculation.
Now, hapa sasa ndio umeusema Ukweli ambao all your male counter parts hawataki kuukubali.

Tatizo hapa sio wanawake na matendo yao, tatizo ni insecurities, fear of the unknown & ego walizonazo wanaume kuhusu Uhalisia wao na Umuhimu wao kwenye haya Maisha.

99.99% of human males are brought up believing that they are special creatures and that females are their personal properties to use as they please and they should not expect any consequences.

Sasa dunia imepinduka, kila kitu ni more colorful and almost realistic kiasi wanawake hawahitaji tena kupapasa kuzipata njia zao, they can move and make choices freely.

The black and white world that our grandmas, our mothers lived in, is long gone.

For as long as tukiendelea kudhalilishana na kukoseana heshima na utu, hakuna kile tutabadilisha zaidi ya SISI kubadilishwa na nyakati kama ilivyo sasa.

For both human Males and Females, hakuna mjanja kwa maisha ya sasa ila Kama alivyosema DR HAYA LAND, only the Fittest will survive. Sasa sio fit ya Gym!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…