Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Nihangaike kumfahamu feminist ili iweje, mi nakuona mwanamke wa hovyo tuInaonekana unatamani mno kunifahamu maana siyo kwa kusisitiza huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nihangaike kumfahamu feminist ili iweje, mi nakuona mwanamke wa hovyo tuInaonekana unatamani mno kunifahamu maana siyo kwa kusisitiza huku
Labda ndoa ya kiroho (kuzimuni).View attachment 3079880
Alisema amedumu kwenye ndoa kwa miaka ishirini na hiyo ilikuwa 2019, Kuna ID alikuwa anatumia ya zamani
Tatizo ni kwamba mwanamke hawezi kuishi bila mwanaume, jinsi alivyoumbwa kaumbwa kuongozwa na kutawaliwa, sasa kwa point ya mleta mada mwanamke ndio ataumia zaidi.Kijana wanawake wa sasa wanachofuata kwenye ndoa ni financial security tu hakuna kingine, yani mkubali mkatae huku ndiko dunia ilikofikia kwahiyo kama wanaume hawako tayari kuoffer hiko kitu kwenye ndoa, basi wanawake wataachana nazo na kujitafutia wenyewe kwahiyo acheni kujifariji
Yani kamwe msifikiri kwamba eti wanawake watarudi zile enzi za kuwabembeleza na kuwanyenyekea ili wapate ndoa, tunakoelea wanaume mkisusa ndoa wanawake nao watatafuta namna ya kuishi bila ndoa, halafu mwisho wa siku tuone nani atasanda
By the way hivyo vibinti mnavyosema mtavioa ndio hivi hivi ambavyo vinatolewa bikira vikiwa primary na vinasema havitaki ndoa vinataka kuzaa tu vilee watoto au kuna vingine, ninyi wenyewe si ndio huwa mnasema hivyo vibinti hata vikiolewa mapema huwa ni visumbufu kwenye ndoa, vinakuwa bado haviko tayari kuwa wake na mama hivyo hupelekea kuachika mapema
Kinyesi kweli weweMada imekuzidi uwezo, ungekaa kimya tu.
In general, mwanamke analilia ndoa kutuliza nafsi yake, to calm her emotional anxiety, yakiwemo hayo ya security, validation etc na ndio maana tunasema mwanamke hawezi kuishi bila mwanaume, and that's by design, sio kwamba ni financial issues tu, tupunguze ujuha jamani, shida kubwa hamuolewi sababu ya Big Egos km hizi, ujuaji mwingi mno.Mkuu comment yangu mbona inaeleweka vizuri kabisa wanaolilia ndoa ni wanawake wenye njaa hivyo wanahitaji financial security, na wengine ni kutokana na pressure toka kwenye jamii hivyo wanakuwa desperate na si kwamba wana mapenzi ya dhati sana na wanaume, waulize wanaume wenzio jinsi wale corporate and independent women walivyo wajeuri na ambavyo hawapendi kupelekeshwa sasa wanawake wa aina hiyo tangu lini wakaiweza ndoa
Kusema kila mwanamke anaye MTU anataka kumuoa sio kweli.Usitake watu tukaongea siri za kikeni bana, wanawake hawalii hadharani kama usemavyo kwasababu “kila mwanamke anaye mtu inbox kwake anayetaka kumuoa “ namaanisha kila…… Tatizo ni kwanini hawaolewi? ni kwasababu ya vigezo ambavyo kila mmoja amejiwekea ambapo mi sioni tatizo, Hizi pressure zinafanya watu wafanye wrong choices, hence muda ukifika wa kuoneshana shege mje mtulilie humu!
Hao mnaowaona wanalia kwa mwamposa kama asemavyo Me and me Sio kwamba hawana wakuwaoa, Nasikikitika kulisema hili 😂😂😂😂 halikutakiwa kusemwa hadharani. Watu wanaombea Mr.right wao nyie mnadhani wanaombea “chochote”. Tatizo wanaume kila siku nawaambia mnapenda kuzungumzia mambo ya wanawake wakati completely hamyajui. Sijasema ni kitu sahihi wanafanya naomba nisinukuliwe vibaya 😆 Najaribu tu kuwasanua wanaume mambo yanayoendelea kwenye maisha ya wanawake, Kila siku nawaambia mko worried na watu ambao hawako worried.
Tunaijua hii ni psychological manipulations mnafanya. Na some of you mnafanya kwa kujua, wengine hamjui kama mna fanya. Mi nipo hapa kuobserve.
Kwasasa wanatakiwa kubadilika , ukweli mchungu nikuwa sio kila mwanamke ataolewa , au atadumu kwenye hiyo ndoa kwa muda mrefu.Tatizo ni kwamba mwanamke hawezi kuishi bila mwanaume, jinsi alivyoumbwa kaumbwa kuongozwa na kutawaliwa, sasa kwa point ya mleta mada mwanamke ndio ataumia zaidi.
Sawasawa.Kusema kila mwanamke anaye MTU anataka kumuoa sio kweli.
1. Sisi vijana kwasasa hatuwahi kuoa kwasababu ya ugumu wa maisha. Najua wengi watapinga lakini huu ndio uhalisia maisha ya vijana wengi kipato Chao Ni chini ya 20k hivyo ningumu kuendesha familia , vijana hawana Nyumba , imagine kijana amemaliza chuo At 23 ys mpaka ajipange aoe nilini? Na katika kizazi Cha mademu aliokua nao hataweza kuoa Tena katika kizazi hicho hivyo hata yule anayemwambia atamuo itakuwa niuongo tu 😅
Haya ya ushoga yanachangiwa na baba kuwa dhaifu hivyo mtoto kupata malezi ya mama pekee bila baba, udhaifu wa baba unaonekana pale either baba kukimbia nyumba sababu kamshindwa mwanamke au baba yupo ndani ila anatawaliwa na mama. Lawama zinatakiwa kwenda kwa baba lakini inakupa picha mwanamke akiachiwa usukani jamii inakuwa na hali gani, kila kitu kinaharibika, na ndio maana naamini mwanamke kususia ndoa ni kujipoteza mwenyewe, kama mwanamke hakubahatika kuolewa sio tatizo ila isimfanye awe negative kuhusu ndoa, get in line.Kizazi hiki changamoto zipo jinsia zote hasa hiyo yenu hivi tatizo ushoga halioni? Mmefikia hatua ya kuvaa pedi !!!! Pombe, madawa, umalaya, ushoga nk umamdhuru nani kama sio nyie? Mmejikita kunyoosha vidole kwa wanawake ila mmeshindwa kujiokoa nyinyi wenyewe, na uko hapa kujimwambafai kunijibu kama nani? Pambaneni na ya kwenu kabla hamjachelewa la sivyo hali kwenu ni mbaya kuliko mnaowahangaikia
Umefanya utafiti kuhusu sababu za ushoga mkuu? Au umekisiaHaya ya ushoga yanachangiwa na baba kuwa dhaifu hivyo mtoto kupata malezi ya mama pekee bila baba, udhaifu wa baba unaonekana pale either baba kukimbia nyumba sababu kamshindwa mwanamke au baba yupo ndani ila anatawaliwa na mama. Lawama zinatakiwa kwenda kwa baba lakini inakupa picha mwanamke akiachiwa usukani jamii inakuwa na hali gani, kila kitu kinaharibika, na ndio maana naamini mwanamke kususia ndoa ni kujipoteza mwenyewe, kama mwanamke hakubahatika kuolewa sio tatizo ila isimfanye awe negative kuhusu ndoa, get in line.
Tafiti za nini sasa? sababu kubwa ni mtoto kuwa na confusion kuhusu jinsia yake na hii inatokana na mtoto kukosa strong father figureUmefanya utafiti kuhusu sababu za ushoga mkuu? Au umekisia
Sindiyo hapo mkuu2019 ndoa ilikuwa na miaka 20 hadi sasa. Ndoa kama haikuvunjika ina Miaka 25.
Kama aliolewa na miaka 20 so now Jadda ana miaka takriban 45 aisee SASA MBONA BIBI ANAANDIKAGA UJINGA?
Anaempindua na ku break manhood ya huyo mtoto ni mwanamke au mwanaume?!Tafiti za nini sasa? sababu kubwa ni mtoto kuwa na confusion kuhusu jinsia yake na hii inatokana na mtoto kukosa strong father figure
Mwanamme hazeeki , wakati wewe ukifika age ya 40 huna soko mwanamme age ya 40 ana soko kila kona maana uchumi wake mara nyingi huwa stable sasa kama unafuata uchumi kwenye ndoa maana yake mwanamme ana uhakika wa kuoa kuliko wa wewe kuolewa na kwa kuwa mpo kwa ajili ya uchumi maana yake ni kwamba mtatumika sana hadi mpoteze mvuto kabisa.Kijana wanawake wa sasa wanachofuata kwenye ndoa ni financial security tu hakuna kingine, yani mkubali mkatae huku ndiko dunia ilikofikia kwahiyo kama wanaume hawako tayari kuoffer hiko kitu kwenye ndoa, basi wanawake wataachana nazo na kujitafutia wenyewe kwahiyo acheni kujifariji
Yani kamwe msifikiri kwamba eti wanawake watarudi zile enzi za kuwabembeleza na kuwanyenyekea ili wapate ndoa, tunakoelea wanaume mkisusa ndoa wanawake nao watatafuta namna ya kuishi bila ndoa, halafu mwisho wa siku tuone nani atasanda
By the way hivyo vibinti mnavyosema mtavioa ndio hivi hivi ambavyo vinatolewa bikira vikiwa primary na vinasema havitaki ndoa vinataka kuzaa tu vilee watoto au kuna vingine, ninyi wenyewe si ndio huwa mnasema hivyo vibinti hata vikiolewa mapema huwa ni visumbufu kwenye ndoa, vinakuwa bado haviko tayari kuwa wake na mama hivyo hupelekea kuachika mapema
Duu ina maana huyu Jadda anamwaka wa 20 kwenye ndoa.
Mwanaume anayemuingilia mwenzake huyo si muumini wa uanaume, anashusha hadhi ya kiume, ni mjinga kama mjinga anayeingiliwa. Wote wamekosa strong fathers ndio maana wana gender confusion, silaumu mwanamke kwa matatizo ya wanaume ila nawaona ni wajinga pale wanapoamua kuwa liberals eti sababu wanaweza kutengeneza kipato binafsi, kwa maana mwanamke kuwa an independent body inachangia kwa kiasi kikubwa for male emasculation.Anaempindua na ku break manhood ya huyo mtoto ni mwanamke au mwanaume?!
Eti strong father figure! Asilimia kubwa ya wavulana (wanaojiita wanaume) wa sasa ni sperm donors tu na irresponsible dead bits.
Men, African Men, go back to your roots!
Women ain’t your enemies, the real enemy is in your head and your zipper.
Kama anayeingiliwa ni mtoto huo ujinga bado nae unamuhusu?Mwanaume anayemuingilia mwenzake huyo si muumini wa uanaume, anashusha hadhi ya kiume, ni mjinga kama mjinga anayeingiliwa.
Mwanaume anamlawiti mtoto wa kiume huwezi kusema ana gender confusion, this is pure hypocrisy!Wote wamekosa strong fathers ndio maana wana gender confusion,
Ndicho umesema kwenye statement niliyo ku quote. Kwamba matatizo yote ikiwemo la ushoga chanzo kikuu ni mwanamke.silaumu mwanamke kwa matatizo ya wanaume ila nawaona ni wajinga pale wanapoamua kuwa liberals eti sababu wanaweza kutengeneza kipato binafsi,
Now, hapa sasa ndio umeusema Ukweli ambao all your male counter parts hawataki kuukubali.kwa maana mwanamke kuwa an independent body inachangia kwa kiasi kikubwa for male emasculation.