Ikifika 2030 hali haitakuwa nzuri kwa baadhi ya wanawake

Hii ni kweli sasa nini kifanyike kupunguzq tatizo hilo au hamna namna tusubiri watu kuja kujuta?
Ni kama ijumaa ya wiki ya mwisho kabla ya wiki ya NECTA au UE kuanza. Kama haukusoma hesabu miaka yote au semester nzima. Then kufeli ni inevitable. Labda muujiza.

Hatuwezi rudisha muda nyuma bali kuface the reality, hapa nilichofanya ni kuwajuza tu walimwengu kuwa muda wa kulipia hesabu ya matendo umefika.

Kama vile ilivyo kwa mzee mwenye historia ya uvivu na kutojituma ujanani wakati wa uzee ukimfika basi hata mwanamke aliyetumia ujana wake hadi ukaisha na asitenge muda wa kujijenga kwaajiri ya kuja kuwa na mume na familia kiama chake ni umri ukishamtupa mkono, ataomboleza kila siku hadi uzee na umauti vimfike.
 

Wewe unayejiita Jadda sijui ndiyo Jada pinket sijui but dizain huwa nakuchukulia kama mwanamke flani failure kwenye mahusiano ukaangukia kuwa MC kwenye kitchen parties pamoja na kuwa na connection na feminists wa town so umehisi labda ndiyo maisha yalivyopaswa kuwa.

Mind you hakuna maendeleo ktk kitu kinachoitwa maisha ila maendeleo yapo ktk vitu,I mean hakuna kijikundi fulani kitaibuka leo kiseme kiishi tofauti na walioishi kabla yake kifanikiwe kitafanikiwa kwa muda tu baadae kidogo kitajikuta ni useless na ndivyo kilivyo kizazi jeuri cha wanawake miaka yote haya hayajaanza leo tofauti wakati wa wenzako hakukuwa na wide platforms za kujifariji ujinga wao kama mfanyavyo leo,tunawajua kaka zetu na dada zetu wa 70/80s waliojaribu kuishi nje ya natural leo wanahaha,muda tu utasema hakuna anaemtisha mwenzake.
 
Denial kuhusu maisha ya mwingine, how? [emoji848] Make that make sense.

So what's so wrong or inaccurate kuhusu prediction ya maisha ya wanawake wa sasa by the year 2030?
 
na miaka 37 kwa mwanaume ni mzee au kijana?
Okay ngoja nikupe formula uishi nayo itakusaidia kuelewa maisha ya jinsia.

Mwaka 1 wa mwanaume ni sawa na miaka 10 ya mwanamke. Yaani mwanamke ukiishi nae mwaka m'moja ukaisha na haujafanya nae lolote umempotezea miaka 10 in women's timeline.

So mwanaume aliyeishi miaka 37 ni sawa na mwanamke aliyeishi miaka 370. Unaweza elewa namna mwanamke anakuwa kachelewa sana kwa umri huo.

Ipo hivi mwanaume anaanza maisha akiwa hana thamani kwa maana ya uwezo wa kimamlaka na mali. Zamani ilikuwa ni kuanzia 40,ikashuka 30 na sasa kuna mabwana wadogo by age 25 tu tayari wanaanza kuwa wamesimama and therefore wanaanza kuonekana muhimu na kuanza kuwa vijana as wana age badala ya kuzeeka.

Miaka 37 kwa mwanaume ni early stage ya ujana kimahusiano. Huo ndio umri kijana anaanza sasa kufuarahia kuitwa mwanaume kama kama vile mwanamke alipokuwa ana miaka 17 akielekea miaka 18.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatuko bitter mzee. Tuna uchungu tu kuona mambo yanapelekwa kombo.
 
Kuna wanawake wengi tu wana hela ila hawana furaha thus why wanaenda kutafuta waume makanisani, kuna andiko moja linasema "utafika muda ambapo wanawake saba watamfuata mwanaume mmoja na kumwambia tafadhali tunaomba tuitwe kwa jina lako" so bado HAWAJASEMA

Rayns pita hapaa
 
mimi naona mambo ya ndoa yamepungua umuhimu tu

usipooa/kuolewa hutengwi wala nini

sasa sijui ndo tunaiga wazungu au vipi
Kwa mwanamke kuishi maisha nje ya ndoa balaa lake ataliona utu uzimani from 26 kwenda mbele.

Ni sawa na mtu ambaye hajahangaika na kusoma, kupata elimu, wala kujipa weledi wowote akaishi kwa kutegemea fadhila za ndugu. Balaa siku ndugu akitoweka.
 
Mbona unaenda off topic sasa ? Nilikujibu vile kwa sababu ulitoka nje ya mada halafu kuna threads zingine ni bora kusoma na kutafakari tu sio lazima uchangie, umeonesha mapungufu mengi sana aisee. Halafu yawezekana kuna watu wa jinsia yako zaidi ya 5000 wameisoma mada ya jamaa na wakakausha tu. Lakini wewe unachichangia kinapingana na uhalisia wa mambo yalivyo. Ukitaka kutuponda sisi wanaume tumekuwa na tabia za kishoga tuanzishie uzi penye kukosoa tutakosoa penye kuhitajika kunyamaza tutanyamaza
 
Mbona wewe unanipangia thread ya kuchangia, unanipangia kama nani yangu nakuuliza? Nimeenda off topic inakuhusu we ni mwalimu wangu? Acha shobo hujaelewa nilichoandika sio kazi yangu kukuelewesha na si lazima uniquote
 
Why umewaza 2030?
 
Kuhusu ushoga, ukichukua wanaume 1000 randomly, unahisi mashoga watakuwa wangapi? Nikichukua wanawake 1000 randomly, walio kwenye ndoa halali na wenye familia zao najua watakuwa chini ya salimia 10%.

Pombe sio changamoto ya wanaume kama unavyodhani maana imekuwapo miaka na miaka, matumizi mabaya ya pombe ndio tatizo na ndio maafa huanzia hapo.

Madawa sio swala la wanaume tu, kwasasa limekuwa ni changamoto mpya inayokua kwa kasi ya wanawake pia. Sijui kama uliona lile andiko la uraibu wa wanawake kwenye bangi, pombe na shisha ambayo huwekwa vilevi.

Umalaya ni issue ya kike zaidi sababu ya kutafuta pesa, wanaume wanalala na wanawake wengi changizo kubwa ni kukosa utulivu katika ndoa. Takwimu zinaonyesha ongezeko la wanaume kuwa na wapenzi wengi limeanza miaka ya kizazi hiki cha 1980 kuja leo sababu ya mabadiliko ya tabia za wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…