Ikifika 2030 hali haitakuwa nzuri kwa baadhi ya wanawake

Huo ushkaji tunao kuanzia lini ndo hizi shobo zenyewe nilizoandika, kujichoresha kwangu wewe kunakuuma nini na kukupunguzia nini?

Wamekuja kuwalilia muwastiri? Au ni kiherehere chenu? Mnashindwa kudeal na mazingira yanayodidimiza utu wa mwanaume mnahangaika na vitu visivyo na madhara? Hicho ndicho mi namaanisha, hujanielewa ila kutaka kujionyesha ulivyo na busara kumbe bogus tu, sina shida na shauri zako sijakuomba acha kiherehere
 
Pia hili suala la kuoa mke mmoja naona limechangia sana kwa wanawake kutokuolewa zama hizi
Sasa si wana wivu wao kwa wao Mkuu hawapendani

Ndo maana mwanamke huwa anamuharibia sana mwenzake katika mafanikio kuliko mwanaume na pia ni mara chache kukuta mwanamke labda binti anamsikiliza mama yake ila babaake atamsikiliza.....
 
Hapo ndipo wanapo feli
Wakubali tuu kukaa wanne na kuendelea kama bibi zao
 
Kw hiyo.Aunt Ezekiel.kwa Kale kabwana chake anatafuta financial security?

Na Shishy Baby je kila kuchao anahangaika na vitoto,anatafuta nini kwao?
 
Maisha ya Sasa sio zamani mkuu. kitu kimebadilika lakini wewe bado unawaza zamani. Wanaume saivi hatuoi hao wanawake Nani atawaoa? Hiki nikizazi Cha tofauti usikilingamishe na kilichopita. Kila jinsia lazima ijipange na mabadiliko hayo
Wewe ndo umezungumza, mabadiliko yako jinsia zote ila wenzio wanaona ya wanawake tu ndo na mie nawakumbusha mabadiliko hasi yanayowahusu wanaume ni mabaya zaidi
 
Kuna msemo unasema
Time heals wound
Jipe muda utapona kutukana hapa hadharani ni kujiongezea uchungu na maumivu moyoni mwako.
Kama mahusiano ya kimapenzi yalikuumiza na kukuachia uchungu bado una muda wa kupona na kumove on. Hasira, matusi na maneno yenye kudharirisha hayakusaidii lolote zaidi ya kukuumiza mwenyewe. Many times kwenye posts zako umekuwa ukiandika maneno harsh sana. Haikusaidii. Jifunze kuishi na watu vizuri hata hapa Jamiiforums na utakuwa na maisha yenye kuridhisha lakini ukitaka kujifanya ni Mwajuma Gangstar utaumia wewe na roho yako.
We all have Pains
We all have sorrow
But we are trying to be wise. Because there is tomorrow na haupo hapa jamii forums kwa bahati mbaya bali kwa makusudi maalumu. Huwezi kuivimbia nature utakuwa ni mtu wa huzuni na maumivu maisha yako yote na baadae umri ukienda unapata magonjwa ya kiharusi, presha na magonjwa mengine
 
Kwanza ikifika mwaka huo robo tatu ya wanaume watakua mashoga tatizo namba moja!
- possibility ya watu waliozaliwa 90's kutoboa miaka 40 imeshakua ngumu sana! Kuna safisha safisha inaendelea pengine kiasili ama kimpango
YAni tusubiri Allah atujalie uzima tuone kama tutaishi na nyani au vipi
 
Wanawake tayari wameishaanza kuteseka hata kabla ya 2030 mkuu.
 
Kwanza ikifika mwaka huo robo tatu ya wanaume watakua mashoga tatizo namba moja!
- possibility ya watu waliozaliwa 90's kutoboa miaka 40 imeshakua ngumu sana! Kuna safisha safisha inaendelea pengine kiasili ama kimpango
YAni tusubiri Allah atujalie uzima tuone kama tutaishi na nyani au vipi
 
Kwani Afande ananjaa? mbona wapo wengi tu wenye status wanahangaikia ndoa mkuu, kwani akina Jay Dee wananjaa lakini si uliona alivyokuwa tayari kuvunja ndoa ya mwanamke mwenzake?
 
Taasisi ya ndoa inaenda kufa kibudu, yaani zile swagger za "ndoa haina umuhimu" zitazidi kusikika. Sijui watoto watalelewa kwa misingi gani, maana mashuleni nako hakuna nafuu, kanisani/msikitini nako hapafai tena. Taasisi ya ndoa ikifa(kunakuwa na ongezeko la single parenting kama ulaya na marekani) maadili yatapungua sana kwa mtanzania.
 
Hiyo safisha ni kwa wanaume tu au wote waliozaliwa hiyo miaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…