Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Huo ushkaji tunao kuanzia lini ndo hizi shobo zenyewe nilizoandika, kujichoresha kwangu wewe kunakuuma nini na kukupunguzia nini?Unajichoresha sana Mshikaji halafu post zako zinaharibu lengo halisi la huu uzi kausha tu. Masuala ya kujuana sio lengo kuu. Unaupinga huo utafiti? Halafu hao wanaume wanaovaa pedi uliwaona wapi? Acha kuuvuruga huu uzi ili kupindisha kusudi lilokusudiwa. Wasichana kibao wana kazi na kipato cha kujitosheleza wanalilia kusitiriwa. Alafu unakomaza shingo bure tu umeona mfano wa kizazi cha 1980 mpaka 1989 wakina Aunty Ezekiel, Wolper,Uwoya,Wema tayari wameshakuonyesha green light wewe uliyezaliwa early 1990 bado unajifanya huelewi eti 🤣🤣🤣
Wamekuja kuwalilia muwastiri? Au ni kiherehere chenu? Mnashindwa kudeal na mazingira yanayodidimiza utu wa mwanaume mnahangaika na vitu visivyo na madhara? Hicho ndicho mi namaanisha, hujanielewa ila kutaka kujionyesha ulivyo na busara kumbe bogus tu, sina shida na shauri zako sijakuomba acha kiherehere