Ikifika 2030 hali haitakuwa nzuri kwa baadhi ya wanawake

Ikifika 2030 hali haitakuwa nzuri kwa baadhi ya wanawake

Mkuu ulichoandika ni ukweli, na siku zote ukweli unauma, kuna dada ana 39, hana mume wala hana mtoto huo mwaka 2030 atakuwa na miaka 45 jua lishazama inatumika taa ya mzungu, shida ni enzi za ubint wake usikute alikuwa anachagua chagua akitaka mwenye fainensho statasi, sasa hivi anatafutwa anayepumua tu, si unaona wako tayari kuwalea vijana wanaojiitafuta, kuna dada ana miaka 36 saizi amejikuta amebeba mimba ya kijana wa miaka 28, hapa anajishauri azae au atoe maana anaona aibu!! nikamuuliza wakat unamvulia chupi hukuona aibu??? jibu lake ni hamu zilizimzidi na kijana ni mtamu😂😂😂 unabaki unacheka
 
Miaka hii ndoa sio kipaumbele Tena, Kama zamani. Tena kwa mwanamke ukitaka kulazimisha ndoa utaharibikiwa Vibaya Sana. Watoto wangu wakike nawafundisha ku focus maaisha kwa Sana kujenga kesho iliyo Bora kuliko kutumia muda mwingi kukimbizana na mahusiano
huku mtandaoni ndio sio kipaumbele, unamkumbuka mama wa kisuli suli?(marehemu mama Lwakatare) ukitaka kujua ndoa ni kipaumbele njoo makanisani useme wanaohitaji kuolewa wapite mbele waombewe utaelewa
 
Ushasema umepeleka kreti la soda, hao walikuwa na kiu na soda ndiomana wamekushangilia.!! 🤣🤣🤣
mnaongea tu humu, ndoa mnazitaka wengi

sema sio wanawake peke yao ndo hawana nidhamu ya mahusiano, hata wanaume

shida ya Zemanda ni chawa wa motivational speaker mmoja, anamfatiza kuhangaika na wanawake



Hivi Jadda unampata Kevin Samuels? Huyo kwenye avatar ya Zemanda?
 
Kwanza ikifika mwaka huo robo tatu ya wanaume watakua mashoga tatizo namba moja!
- possibility ya watu waliozaliwa 90's kutoboa miaka 40 imeshakua ngumu sana! Kuna safisha safisha inaendelea pengine kiasili ama kimpango
YAni tusubiri Allah atujalie uzima tuone kama tutaishi na nyani au vipi
🤣🤣🤣
We sema kweli ? Hebu ni piem unipe namba tuyajenge vizuri
 
Wanaume hawanashida kuoa mke zaidi ya m'moja kwao ni rahisi. Shida wanawake hawataki kusikia hiyo kitu kwasababu ys ubinafsi na kutaka wao wapate wanachotaka pekee sio wanaume.
Mimi naamini watu wakibadilika mtazamo na kuishi wanavyopenda ikiwa pamoja na kuoa watakavyo miaka 10 mingi wanawake wote watakuwa wameolewa
 
Back
Top Bottom