Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mnataka bwanaHivi wanaume aliyewadanganya tunahitaji ndoa nani??
Mimi naona nyie endelezeni kutumiana wenyewe kwa wenyewe mbona nayo inalipa tu.
huku mtandaoni ndio sio kipaumbele, unamkumbuka mama wa kisuli suli?(marehemu mama Lwakatare) ukitaka kujua ndoa ni kipaumbele njoo makanisani useme wanaohitaji kuolewa wapite mbele waombewe utaelewaMiaka hii ndoa sio kipaumbele Tena, Kama zamani. Tena kwa mwanamke ukitaka kulazimisha ndoa utaharibikiwa Vibaya Sana. Watoto wangu wakike nawafundisha ku focus maaisha kwa Sana kujenga kesho iliyo Bora kuliko kutumia muda mwingi kukimbizana na mahusiano
Relax bwana.Akaelekeze wanaovaa pedi niliowasema hapo juu, mi sitaki anielekeze ananielekeza kama nani yangu? Ananijua? Namjua? Simuhusu hanihusu!
Mkibanwa mnaanza kujifanya kujua watu maisha yao binafsi ndo anachofanya huyo mtu
Ushasema umepeleka kreti la soda, hao walikuwa na kiu na soda ndiomana wamekushangilia.!! 🤣🤣🤣mnataka bwana
jana mbona nilipeleka kreti harusini huko, watu vigelegele
Zako zipi gendaeka? 😹😹Akili za wasimbe bana 😛😛
Wanaume hawanashida kuoa mke zaidi ya m'moja kwao ni rahisi. Shida wanawake hawataki kusikia hiyo kitu kwasababu ys ubinafsi na kutaka wao wapate wanachotaka pekee sio wanaume.Pia hili suala la kuoa mke mmoja naona limechangia sana kwa wanawake kutokuolewa zama hizi
mnaongea tu humu, ndoa mnazitaka wengiUshasema umepeleka kreti la soda, hao walikuwa na kiu na soda ndiomana wamekushangilia.!! 🤣🤣🤣
Makao makuu ya chama ili "wavaa pedi" wote waone!!!M/kiti sanamu lako tujengee makao makuu ya chama au Beijing? 😂😂😂
🤣🤣🤣Kwanza ikifika mwaka huo robo tatu ya wanaume watakua mashoga tatizo namba moja!
- possibility ya watu waliozaliwa 90's kutoboa miaka 40 imeshakua ngumu sana! Kuna safisha safisha inaendelea pengine kiasili ama kimpango
YAni tusubiri Allah atujalie uzima tuone kama tutaishi na nyani au vipi
Mimi naamini watu wakibadilika mtazamo na kuishi wanavyopenda ikiwa pamoja na kuoa watakavyo miaka 10 mingi wanawake wote watakuwa wameolewaWanaume hawanashida kuoa mke zaidi ya m'moja kwao ni rahisi. Shida wanawake hawataki kusikia hiyo kitu kwasababu ys ubinafsi na kutaka wao wapate wanachotaka pekee sio wanaume.
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
We sema kweli ? Hebu ni piem unipe namba tuyajenge vizuri