Ikifika 2030 hali haitakuwa nzuri kwa baadhi ya wanawake

Ikifika 2030 hali haitakuwa nzuri kwa baadhi ya wanawake

Huwezi achwa ufanye makosa kwa sababu wewe hauishi katika vacuum unaishi na jamii ukiamua kuwa malayer hatuwezi kukuacha kwa sababu mabinti zetu watakuja kujifunza kutoka kwako na mambo yalivyo BAD IS MORE ATTRACTIVE THAN GOOD. So hatuwezi kuwaacha na ujinga wenu wakati ninyi ni sehemu ya jamii. May be maneno yetu Wengine yatawafaa.
A Very opinionated person you are! Unajisikia very important. Keep it up.

Wewe kuielewa jamii na kutokuelewa jamii sio kitu linear, huoni tatizo lako?

Kuna namna ya kutoa maonyo, na hii ya wanaume wa JF sio mojawapo, Mimi ni mlezi, naelewa namna nzuri ya kufundisha na kutoa maonyo, Hii namna imewaharibu wengi na kuwadumbukiza shimoni, this is my second concern, my first concern is wanaume hamjui mengi sana kuhusu wanawake, Chill.
 
Kufikiaa 2030 Taifa hili litakua na wanawake, na Wasengee tyuu,
Vijanaa wanafirana km hawana akili nzuri, kuoa hawataki eti majukumu, kumbe uongo nao ni wake za watu.

Huo mda wanawake, watakua wanajichokoa na Dildoz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
🤣🤣🤣 vigezo gani??
Mimi kwakweli wala sihitaji ndoa, kuanza kuishi chini ya mtu na kuuza uhuru wangu nehi nehi karungi..
Eti nianze kuumiza kichwa mume atakula nini? Kesho atavaa nini? Usiku nijiandae kupigwa mbuzi kagoma.. 😹😹😹

Hapana kwakweli waolewe wanaotaka kushinda na Alshabab under one roof 🤣
Kwa hali hii 2030 mbali mnoo Zemanda
 
Kufikiaa 2030 Taifa hili litakua na wanawake, na Wasengee tyuu,
Vijanaa wanafirana km hawana akili nzuri, kuoa hawataki eti majukumu, kumbe uongo nao ni wake za watu.

Huo mda wanawake, watakua wanajichokoa na Dildoz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🏃🏃🏃🏃
 
Kijana wanawake wa sasa wanachofuata kwenye ndoa ni financial security tu hakuna kingine, yani mkubali mkatae huku ndiko dunia ilikofikia kwahiyo kama wanaume hawako tayari kuoffer hiko kitu kwenye ndoa, basi wanawake wataachana nazo na kujitafutia wenyewe kwahiyo acheni kujifariji

Yani kamwe msifikiri kwamba eti wanawake watarudi zile enzi za kuwabembeleza na kuwanyenyekea ili wapate ndoa, tunakoelea wanaume mkisusa ndoa wanawake nao watatafuta namna ya kuishi bila ndoa, halafu mwisho wa siku tuone nani atasanda

By the way hivyo vibinti mnavyosema mtavioa ndio hivi hivi ambavyo vinatolewa bikira vikiwa primary na vinasema havitaki ndoa vinataka kuzaa tu vilee watoto au kuna vingine, ninyi wenyewe si ndio huwa mnasema hivyo vibinti hata vikiolewa mapema huwa ni visumbufu kwenye ndoa, vinakuwa bado haviko tayari kuwa wake na mama hivyo hupelekea kuachika mapema
Umeandika upumabvu
 
Mkuu comment yangu mbona inaeleweka vizuri kabisa wanaolilia ndoa ni wanawake wenye njaa hivyo wanahitaji financial security, na wengine ni kutokana na pressure toka kwenye jamii hivyo wanakuwa desperate na si kwamba wana mapenzi ya dhati sana na wanaume, waulize wanaume wenzio jinsi wale corporate and independent women walivyo wajeuri na ambavyo hawapendi kupelekeshwa sasa wanawake wa aina hiyo tangu lini wakaiweza ndoa
wasio na njaa na wana hela wanastress sana, ndio hao wanabadilisha vimarioo kila kukicha. Lakini pia hata wanaume hili linasumbua lakini mwanume ni mwanaume tu.
 
Sisi ndio tunaodate na kutoka na hivyo vibinti, wewe unadate na vibinti hadi ukavikuta havina bikra? [emoji848]

Huku mtaani sisi wanaume ndio tunaoombwa hela na wadada age go wa 30+ wewe ni mwanaume kusema unayapitia haya? [emoji848]

Tunachosema ni uhalisia wewe unaongelea nadharia. Huoni nyuzi nyingi za wanaume wanacomplain kuomba hela na nyuzi za wanaume kukwepa kutoa hela hiyo inakupa picha ipi?

Wanawake ni tegemezi kwa wanaume iwe nje au ndani ya ndoa, sasa ni bora uwe tegemezi ndani ya ndoa angalau unakuwa na legal legitimacy ya kuhudumiwa, sasa umri unaenda halafu upo nje ya ndoa.

Hizo buku ten mnazohongwa zinaishia saloon kujibrand na makucha ya 30K na nywele za 50K bado haujala, haujalipa kodi, usafiri, can you keep up with that life hadi uzeeni?

Sasa wewe bisha kama kawaida yako, 2030 tutasomana ubaoni. Wewe si unajua sana lets wait and see who is the Man of the match. [emoji23][emoji23][emoji23]
Neked truth
 
🤣🤣🤣 Yani ndoa sijawahi kuiwaza kabisaa..
Nilikuwa na boyfriend zile hekaheka zake tu nikaona “Ehh huyu naye vipi tena?” Eti kinanifokea uko wapi? Nataka nije kula hapo kwako?? Nikamuadress shishi food mambo ya kingese sitaki mimi.! 😹😹😹
Akishaanza story ya kuja kwako ni RED FLAG

kuna mwingine aliniambia anataka aje anipikie kabisa nilistajaabu 😁😁😁😁😁😁😁
 
🤣🤣🤣 Yani ndoa sijawahi kuiwaza kabisaa..
Nilikuwa na boyfriend zile hekaheka zake tu nikaona “Ehh huyu naye vipi tena?” Eti kinanifokea uko wapi? Nataka nije kula hapo kwako?? Nikamuadress shishi food mambo ya kingese sitaki mimi.! 😹😹😹
Hizi dildos na vibrators zimetushushia sana mvuto wanaume...😆😆😆

Unakuta mtu ana kidumwana kina 8nches', Atatuelewa vipi ... 😆😆😆
 
Akishaanza story ya kuja kwako ni RED FLAG

kuna mwingine aliniambia anataka aje anipikie kabisa nilistajaabu 😁😁😁😁😁😁😁
🤣🤣🤣 Huyo kunguru sasa.!!
Kukupikia hiyo vipi??
Mi huyu alianza urafiki mpk na mbwa nikaona tunakoelekea ataanza kumwagilia na bustani yangu ya mchicha, nikamwambia baba nenda kwako nikikuhitaji nitakuja.!!

Yani wanaume siku hizi sijui wamekuwaje, wanajirahisi mno 😹
 
Hizi dildos na vibrators zimetushushia sana mvuto wanaume...😆😆😆

Unakuta mtu ana kidumwana kina 8nches', Atatuelewa vipi ... 😆😆😆
Mi situmii dildo wala vibrator, nakalia kitu kinachohema na kusimama Dede na chenye quality zote..!
Ila mazoea ya kufanyana mke na mume ndio sitaki, tena wanaume wa ss hivi mna gubu sijaona.! 😹😹😹
 
Back
Top Bottom