Sisi ndio tunaodate na kutoka na hivyo vibinti, wewe unadate na vibinti hadi ukavikuta havina bikra? [emoji848]
Huku mtaani sisi wanaume ndio tunaoombwa hela na wadada age go wa 30+ wewe ni mwanaume kusema unayapitia haya? [emoji848]
Tunachosema ni uhalisia wewe unaongelea nadharia. Huoni nyuzi nyingi za wanaume wanacomplain kuomba hela na nyuzi za wanaume kukwepa kutoa hela hiyo inakupa picha ipi?
Wanawake ni tegemezi kwa wanaume iwe nje au ndani ya ndoa, sasa ni bora uwe tegemezi ndani ya ndoa angalau unakuwa na legal legitimacy ya kuhudumiwa, sasa umri unaenda halafu upo nje ya ndoa.
Hizo buku ten mnazohongwa zinaishia saloon kujibrand na makucha ya 30K na nywele za 50K bado haujala, haujalipa kodi, usafiri, can you keep up with that life hadi uzeeni?
Sasa wewe bisha kama kawaida yako, 2030 tutasomana ubaoni. Wewe si unajua sana lets wait and see who is the Man of the match. [emoji23][emoji23][emoji23]