SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Jana vijana wa Ultrasound waliwatoa ulimi kweli kweli vyura wakongwe bado kidogo watapike nyonga. Baada ya mechi tuliwaona kina Mzee Aucho viungo vyote havifanyi kazi hata kutembea kwenda vyumbani ilikuwa shida.
Tunaenda kuongeza chuma moja matata sana kusimama pale namba 9 akishare namba na Mukwala.
Derby ijayo mwezi wa 10 hawa chura wazee watakuwa tayari wamesogeza umri kwa miezi 2 na hapo kati watakuwa wameshagongwagongwa visigino na wahuni wa mikoani (ukiacha zile timu 7 zilizo chini ya GSM). Hapohapo vijana wa Ultrasound watakuwa wameshaanza kupata physics. Miezi miwili katika uzee ni kama miaka 2, kama hauniamini mimi muulize babako.
Ubaya Ubwela!