Ikifika Derby ya October, wazee wa Yanga watakuwa wamesogeza umri kwa miezi miwili

Jana vijana wa Ultrasound waliwatoa ulimi kweli kweli vyura wakongwe bado kidogo watapike nyonga. Baada ya mechi tuliwaona kina Mzee Aucho viungo vyote havifanyi kazi hata kutembea kwenda vyumbani ilikuwa shida.

Tunaenda kuongeza chuma moja matata sana kusimama pale namba 9 akishare namba na Mukwala.

Derby ijayo mwezi wa 10 hawa chura wazee watakuwa tayari wamesogeza umri kwa miezi 2 na hapo kati watakuwa wameshagongwagongwa visigino na wahuni wa mikoani (ukiacha zile timu 7 zilizo chini ya GSM). Hapohapo vijana wa Ultrasound watakuwa wameshaanza kupata physics. Miezi miwili katika uzee ni kama miaka 2, kama hauniamini mimi muulize babako.

Ubaya Ubwela!
dd3ee90472294ce195adf5cf6534305a.jpg
ubaya upwiru😅😅
 
Huo ndiyo uzuri wa mashabiki wa Simba mbele ya viongozi wao, usipoweza kuongoza Simba sijui utaweza kuongoza nini. Hiyo timu yenu safari hii inaenda kushika either nafasi ya 4 au ya 5 si mmeshaambiwa kuwa vijana bado wanakua hivyo wapewe misimu miwili
 
Jana vijana wa Ultrasound waliwatoa ulimi kweli kweli vyura wakongwe bado kidogo watapike nyonga. Baada ya mechi tuliwaona kina Mzee Aucho viungo vyote havifanyi kazi hata kutembea kwenda vyumbani ilikuwa shida.

Tunaenda kuongeza chuma moja matata sana kusimama pale namba 9 akishare namba na Mukwala.

Derby ijayo mwezi wa 10 hawa chura wazee watakuwa tayari wamesogeza umri kwa miezi 2 na hapo kati watakuwa wameshagongwagongwa visigino na wahuni wa mikoani (ukiacha zile timu 7 zilizo chini ya GSM). Hapohapo vijana wa Ultrasound watakuwa wameshaanza kupata physics. Miezi miwili katika uzee ni kama miaka 2, kama hauniamini mimi muulize babako.

Ubaya Ubwela!
Mzee pacome akipimwa umri na kinda zimbwe
 
Attachments

  • alikamwe_20240809_reel_3430989328949990049_1_3430989328949990049.mp4
    769.7 KB
Mpaka mseme huyu kijana aliyefukuzwa na Mzee Pacome ...alikuwa anapuliza kuni, mkaaa au puto ....au alishindwa kumkaba Mzee akaona ampulize adondoke ....View attachment 3065721
Sitashangaa kukuta huyo mpuuzi Pakome anatumia dawa za kuongeza nguvu. Halafu hiyo jamaa wa hapo nyuma hakuvuka mstari wa kati dakika zote 90.

Hata kama hao wakiwepo SAYVILLE amefafanua vizuri vile watakuwa baada ya miezi miwili. Ameelezea kwa sayansi ya ukuaji.

Ova
We waacha wanadhani natania. Hawajui sayansi ya ukuaji hao

Huyo Joyce aliyechangamka alizidiwa ubavu refa akamuokoa akaita hiyo ni faulo
 
Sitashangaa kukuta huyo mpuuzi Pakome anatumia dawa za kuongeza nguvu

Hakuna cha dawa wala jamaa bali yupo serious sana msimu huu na kazi, ana program zake mwenyewe maalumu za mazoezi.
 
Nalishaziona hizo video. Kwani unadhani wanaotumia madawa hawafanyi mazoezi?

Anyway simtuhumu wala sina nia ya kuanzisha mjadala kuhusu hilo. Kuna kitu tu nimekiona toka msimu uliopita.
Kusema tu kuwa haushangai maanake umemtuhumu kutumia dawa. Kwanini mtu atume picha ya namna alivyokuwa akipambana halafu wewe umuhishishe na kutumia madawa?
 
Nimekwambia sijawaza hili leo tu eti kwenye hiyo picha. Toka msimu uliopita hilo lilikuwa kichwani mwangu kutokana na yale niliyoyaona na ninayoyajua kuhusu hayo madawa. Usinilazimishe niseme zaidi ya hapo
 
Back
Top Bottom