Ikifika Desemba 31 mwaka huu naomba mnikumbushe kuhusu malengo yangu

Ikifika Desemba 31 mwaka huu naomba mnikumbushe kuhusu malengo yangu

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Habari za muda huu ladies and gentlemen.

I wish nisikwaze mtu yeyote kwenye huu uzi.

atakaekwazika naomba anisamehe saaana

kijana mwenzenu () niko katika mchaka mchaka wa kupambana na maisha kama ilivyo ada

nimejiwekea malengo mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka huu niwe na milioni 3 na zaidi

naomba niacha alama hapa.

muda ukifika, hili kaburi lifukuliwe😅😅😅

kwa sasa nina laki 674,500.

Hii hela kwa wiki inanipa net profit ya Tsh 70,000 mpaka 100,000.

mwisho wa mwaka nataka nihesabu lundo kama Hili hapa
FB_IMG_1649315413662.jpg
 
🤣🤣🤣🤣
Mimi nipo hapa na nitakukumbusha kweli ivoo
 
Habari za muda huu ladies and gentlemen.

I wish nisikwaze mtu yeyote kwenye huu uzi.

atakaekwazika naomba anisamehe saaana

kijana mwenzenu () niko katika mchaka mchaka wa kupambana na maisha kama ilivyo ada

nimejiwekea malengo mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka huu niwe na milioni 3 na zaidi

naomba niacha alama hapa.

muda ukifika, hili kaburi lifukuliwe[emoji28][emoji28][emoji28]

kwa sasa nina laki 674,500.

Hii hela kwa wiki inanipa net profit ya Tsh 70,000 mpaka 100,000.

mwisho wa mwaka nataka nihesabu lundo kama Hili hapa
View attachment 2178795
Unafanya forex mkuu?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom