chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
Actually kama upo online na una peruzi muda huu, basi kuna uwezekano mkubwa kuwa wewe ni mraibu wa mitandao.
Muda kama huu kwa watu wengi inapaswa uwe umelala, au uwe mbali na simu, labda tu kwa wale wanaofanya kazi zao mida ya usiku.
Hivyo ukijikuta upo online muda huu ni dalili moja ya kuwa addict wa mitandao hivyo unapaswa uchukue hatua kwani internet inaweza kuwa addiction kama addiction zingine